1-Mask kama chandarua unaweza kulala lakini ukapata malaria nje ya chandarua ila inasaidia kujilinda.
2- Hakuna
Leo Rais Dodoma anasema tumieni dawa ya asili inafanya kazi kwa asilimia 99% ya corona, tusiamini kila dawa inayotoka nje kwa maana nyingine Corona ipo kama kukiri juzi tu walisema hakuna corona kwetu. Sasa hii dawa inawezekana kweli sina ushahidi wa kukana ila tafiti zilifanywa kwa watu wangapi? data zikuwapi na wakati tulikuwa hatuna wagonjwa wa corona kwa mujibu wa serikali. Hawa wagonjwa katika mahospital je wanaweza kuthibitisha ndio dawa wanayopewa na ma Dr. Serikali ituweke wazi katika hili. Juzi wanasema vipi cjanjo haraka hivyo sasa sisi mbona dawa haraka sana tu.