fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Nenda kwenye msiba mkuu utapata historia fupi ya marehemuMpaka sasa sijapata historia iliyokamilika kuhusu marehemu, zaidi ya mabishano na ujirani wa makazi kwa baadhi ya wadau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwenye msiba mkuu utapata historia fupi ya marehemuMpaka sasa sijapata historia iliyokamilika kuhusu marehemu, zaidi ya mabishano na ujirani wa makazi kwa baadhi ya wadau.
sijawahi kuona umuhimu wa kuvaa hizo barakoa zaidi ya kutesana tu na kushindwa kupumua
Huyu jamaa pamoja na shule ilikuwa hakuna kabisa alikuwa anaakili sana ya kutumia kauli kufanya biashara, pia alikuwa mtu wa watu mjitoaji sana kwa matatizo ya watu.Nenda kwenye msiba mkuu utapata historia fupi ya marehemu
😭 sikuwahi muona au sikia akigombana na mtu!Huyu jamaa pamoja na shule ilikuwa hakuna kabisa alikuwa anaakili sana ya kutumia kauli kufanya biashara, pia alikuwa mtu wa watu mjitoaji sana kwa matatizo ya watu.
Nakumbuka miaka ya nyuma walienda Dubai na wadogo zake wakanunua franchieser ya Mgahawa mmoja unaitwa The Gold Folk waafungua pale millenium tower nafikiri lakini haukufanya vuzuri wakauhamishia pale njia ya kuingilia stand ya kuingilia kituo cha mabasi cha kijionyama nafikiri jiji wakaivunja maana ilikuwa barabarani.
Sina hakika hii gold folk ya mlimani city ni yakwake au la.
Picha ya MarehemuView attachment 1694419
Kuna wakati jamaa alikuwa anapenda sana kuwa na wasanii bongo movie hadi benki akienda utamkuta yuko naoPoleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.
Akachube ni karibu na Wema Sepetu aliponunua nyumba ya mil 400 na fenicha za mil 50 kwenye TV.
Asante mkuu na wewe piaR.I.P
Hiyo kauli itatuharibia uchumi kwa sasa tuko kwenye right track hauitaji Rais aje akwambie majukumu yako ya kuchukua tahadhari we kaa kizembe ikukule kichwa ukisubili kauli ya Rais au nasema uongo ndugu zanguuuuu mitano tena
Hawa ni baadhi ya watu waliyowahi kuugua Covid-19 na wakapona.
Anna Mghwila.
Mwana FA.
Salam SK.(meneja wa Diamond?)
Mtoto wa Magufuli.
Mtoto wa Mbowe.
Na sasa Maalim seifu amejitangaza kuumwa Covid-19, tunaimani atapona pia.
Muuza magari maarufu jijini Dar es Salaam, Akachube afariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Ndugu wa karibu wamesema amefariki kwa ugonjwa wa Nimonia.
Umaarufu wake ulipelekea mpaka kupewa barabara ya Akachube iliyopo Kijitonyama.
Mungu ailaze pema peponi roho yake.
Hahahaaaa........ Wengi humu ni vijana wadogo na wengine mjini wamekuja kimasomo!
Dar ina wenyewe miongoni mwao ndio hao.
1.Kukoa kikohozi kikavuDalili za nimonia tafadhali
Hahahaaaa........ Wengi humu ni vijana wadogo na wengine mjini wamekuja kimasomo!
Dar ina wenyewe miongoni mwao ndio hao.