Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ikifika mida ya jioni unapata maumivu makali ya viungo na kichwa kuuma kama mimi? Maana nahisi hii kitu inatembea mwilini mwanguKorona watu tunaumwa na kupona, wengine umauti unawafika.. Ni km vile nalaria na maradhi mengine watu wanaugua baadhi wanapona baadhi umauti unawabeba...
Muda wa NN?mama D badae lazima nikucheki kitaa chako.....Utaelewa tuu ni swala la muda😂😂😂😂😂
Ni kiherehere chake tu,mbona kipindupindu kipo,malaria ipo,ukimwi upo,sukari ipo,kansa ipo,lakini asihusishwe navyo? Mtu huyu anahukumiwa kwa maneno yake!...
Tukipata tusipopata tumshukuru Mungu tu. That's what we have been instructed.Wewe unaonaje?
Ulishawahi fikiria siku yako ikifika kama wewe binafsi unaweza ku negotiate na kumshawishi Mungu ili asikuchukue?
Imani zetu wengine zinatuambia tujifunze kuomba kwa imani kwa tunachota tutapewa, na ikitokea hatujapewa hicho basi tumshukuru Mungu kwa kila jambo
Nimeumia sana, we acha tu jiraniPole kwa kupoteza rafiki jirani
Kapime kwanza typhod na malaria, Kama huna hivyo haraka anza utaratibu wa kukabiliana na huyo kirusi mkuuMkuu ikifika mida ya jioni unapata maumivu makali ya viungo na kichwa kuuma kama mimi? Maana nahisi hii kitu inatembea mwilini mwangu
Umakini upi unaoutaka wewe?.
Ina maana nchi nyingine wanaokufa na Corona hawana huo UMAKINI?
Kitaa gani? Fuata ratiba zako acha kukurupukaMuda wa NN?mama D badae lazima nikucheki kitaa chako.....
Njia yetu soteNimeumia sana, we acha tu jirani
Watu wanaitoroka awamu ya tano kwa speed ya hatari!Hii naiona mara ya pili bwashee
Kitaa hicho unachokaa siku zote.....Kitaa gani? Fuata ratiba zako acha kukurupuka
Kwa hiyo kama wao wamekufa, wanakupa haki yako wewe pia kufa. Wewe unashindwa kutimiza yaliyo yako kwa kuwa wale wamekufa? Nafikiri unahitaji factory reset ili urudi kwenye logical thinking. Tathimini kauli zako kabla ya kuziandika.
Tunajua ni kwa kiasi gani tuko imara kwa mfumo wa miili kibailojia ukilinganisha na wenzetu kwa ugonjwa husika ingawa mifumo yao ya afya iko imara ukilinganisha na ya kwetu. Let us utilize that small difference to make better outcome by having better approach referring to my first post.
Hakika aisee. Ni kuomba Mungu na kufanya mema ili kumpendeza aliyetuumba.Njia yetu sote
Wakurungwa tuliokuwa tunakifanya kidamshi tumepotea. Tutaenda siku kustuka paleHa ha ha ha ha ha kipo bado aseeee ila hakina shangwe Kama zamani
Corona ni kwa sababu pandemic ni ugonjwa unasambaa dunia nzima kwa njia ya haraka haijalishi unauwa sana au hapana ila unasambaa kwa njia ya haraka, Malaria sio issue ya kidunia hata kimikoa tu. utakuta kuna mikoa malaria sana mingine sio sana wala hakuna hatari ya kumwambikiza mtu ukiwa na malaria. Huyu mdudu wa corona tunapigana naye hata kumuona hatumuoni ila mbu unamuona.Mkuu ikifika mida ya jioni unapata maumivu makali ya viungo na kichwa kuuma kama mimi? Maana nahisi hii kitu inatembea mwilini mwangu