GE2025 Said Azan: Ikulu si hospitali kwamba kila mgonjwa anapaswa kuingia

GE2025 Said Azan: Ikulu si hospitali kwamba kila mgonjwa anapaswa kuingia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kwa mujibu wa Said Azan Msingili mgombea jimbo la Uzini amesema Ikulu si hospitali kwamba kila mgonjwa anapaswa kuingia .

Amesema ametaja hospitali kwani wapo baadhi ya watu ambao wamekuwa wanahamasisha vurugu na si amani huku akisema CCM

 
Si kila mgonjwa, kwa hiyo kuna wagonjwa maalumu wa kuingia?
 
Back
Top Bottom