Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Sep 17, 2025 #1 Kwa mujibu wa Said Azan Msingili mgombea jimbo la Uzini amesema Ikulu si hospitali kwamba kila mgonjwa anapaswa kuingia . Amesema ametaja hospitali kwani wapo baadhi ya watu ambao wamekuwa wanahamasisha vurugu na si amani huku akisema CCM Your browser is not able to display this video.
Kwa mujibu wa Said Azan Msingili mgombea jimbo la Uzini amesema Ikulu si hospitali kwamba kila mgonjwa anapaswa kuingia . Amesema ametaja hospitali kwani wapo baadhi ya watu ambao wamekuwa wanahamasisha vurugu na si amani huku akisema CCM Your browser is not able to display this video.
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 4,853 Reaction score 11,782 Sep 18, 2025 #2 Mbona bonge kaingia na ni mgonjwa yule wa mapresha presha🤣🤣
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 18, 2025 #3 Aiseeeeeee
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Sep 18, 2025 #4 Si kila mgonjwa, kwa hiyo kuna wagonjwa maalumu wa kuingia?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 18, 2025 #5 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw