sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Anasema Harmonize kuwepo au kutokuwepo wcb vipo kwenye makaratasi sasa kama ameondoka wakae chini watengue makaratasi.. Mzee sunajua Kwangwaru ilompa jeuri ni mali ya wasafi?Wanataka kumpa mafao yake?
Harmonize alikuwa ananyonywa na Wasafi?Walikua wanamlalamikia Ruge anayonya wasanii,na wao wanapita humo humo.
Hii point mbona unailazimisha sana ni lini Harmonize amesema ananyonywa na WCB.Walikua wanamlalamikia Ruge anayonya wasanii,na wao wanapita humo humo.
Hamo hapo kipesa ni mkewe yule mzungu na siyo wasafi. Wasafi wakishakupa pesa ununue gari,upange nyumba baasi. Angalia kina lava lava Rayvan.Harmonize alikuwa ananyonywa na Wasafi?
Dada naona Kama mada imekupita kushoto na unachokiongea ukijui dada hiv kwel unafuatilia mziki?Walikua wanamlalamikia Ruge anayonya wasanii,na wao wanapita humo humo.
Ulitaka aseme? Angalia vitendo.Hii point mbona unailazimisha sana ni lini Harmonize amesema ananyonywa na WCB.
Hahahahahaha........Vitendo gani ???? ambavyo wewe umeviona mapema na kutambua kuwa WCB wanamuibia Harmonize.Ulitaka aseme? Angalia vitendo.
Nyie mashabiki wa bongo flavor bwana. Haya endelea kuenjoy show.Hahahahahaha........Vitendo gani ???? ambavyo wewe umeviona mapema na kutambua kuwa WCB wanamuibia Harmonize.
Huyo Sara kamkuta Hamo ana ghorofa kajenga kwa pesa za muziki labda km alimfanyia finishing... Rayvanny ana nyumba yenye swimming pool sasa wananyonywaje awa watu? Lavalava kaanza muziki juzi tuHamo hapo kipesa ni mkewe yule mzungu na siyo wasafi. Wasafi wakishakupa pesa ununue gari,upange nyumba baasi. Angalia kina lava lava Rayvan.
Akili za kisisiemu ni kama kamasi sasa hapo nani kanyonywa?Walikua wanamlalamikia Ruge anayonya wasanii,na wao wanapita humo humo.
DIVA kumbe unatumia avatar hiiNyie mashabiki wa bongo flavor bwana. Haya endelea kuenjoy show.
Nyumba yenye swimming yap kajenga?Show off za insta zinawadanganya sana. Hivi unajua boss wako Domo hapo anapoishi sasa kapanga?Huyo Sara kamkuta Hamo ana ghorofa kajenga kwa pesa za muziki labda km alimfanyia finishing... Rayvanny ana nyumba yenye swimming pool sasa wananyonywaje awa watu? Lavalava kaanza muziki juzi tu
Ali kiba mwenyewe kashindwa kumpita diamond ndo awe harmo?dada unaumwa kwel unawezaje kumshinda mtu ambaye ana run game ya mziki anavyotaka yeye? Unawezaje kumzid mtu mwenye mashabiki wengi kuliko msanii yoyote?Ukiwa under wasafi,umaarufu utaupata sawa ila lazima watamake sure usimzidi Diamond.
Kumbe hakuna unachokijua unaunga unga matukio alafu una-conclude.Nyumba yenye swimming yap kajenga?Show off za insta zinawadanganya sana. Hivi unajua boss wako Domo hapo anapoishi sasa kapanga?