sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Fella anasema habari za Harmonize kuondoka Wasafi hata wao wanazisikia mitandaoni.
Ila kama anaona amekuwa basi wao hawawezi mzuia kutoka Wcb.
Amemuomba aage akiondoka.
Ila kama anaona amekuwa basi wao hawawezi mzuia kutoka Wcb.
Amemuomba aage akiondoka.