Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Huijui wcb wewe, rayvan kapanga tabata...Huyo Sara kamkuta Hamo ana ghorofa kajenga kwa pesa za muziki labda km alimfanyia finishing... Rayvanny ana nyumba yenye swimming pool sasa wananyonywaje awa watu? Lavalava kaanza muziki juzi tu