Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

Alikiba kashindwa ataweza huyo mmakonde msanii mwenyewe anaiga kuimba kwa baba yake alafu Leo amshinde baba yake wa mziki?
Jamaa Hana shukurani yaaani daimond amemsadia Sana Hadi kamruhusu kumkopi lakini Leo anajiona amekua.kuna nyimbo za dogo usipokuwa makini utajua kuwa ni sauti ya diamond kabisa.
 
Jamaa Hana shukurani yaaani daimond amemsadia Sana Hadi kamruhusu kumkopi lakini Leo anajiona amekua.kuna nyimbo za dogo usipokuwa makini utajua kuwa ni sauti ya diamond kabisa.
kwasasa harmonize ni jasusi mbombezi wa muziki
 
Nyumba yenye swimming yap kajenga?Show off za insta zinawadanganya sana. Hivi unajua boss wako Domo hapo anapoishi sasa kapanga?
Kupanga haimaanishi hauwezi kujenga.! Angalia celebrities wa nje kwa mfano, licha ya akaunti zao kusoma millions of dollars utasikia amepanga.

Fact of the matter is that, unaweza kuwa unaishi kwenye upangaji lakini kuangusha nyumba ni kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako.
 
My brother jux anastruggle?how?akat daily anatoa hit songs na ana biashra inaend poa tu!afu juz alhojiwa kuhus kutopga shoo nyng akajb ttzo bei,hapg shoo ya lak so usione msanii anapga shoo daily ndo ukaona kayaptia Noo,kla mtu ana bei yke,uftlie vtu mzee uckurupuke,ukisema jux anastruggle kweny mzk je chid benz, q chief na tid watakuaje???
Wote watakuwa wanastruggle
 
Mkuu, naomba nitoke nje ya mada...
Kipindi kile nakusoma hapa ulikuwa kapole sana, tofauti sana na mapema mwakahuu umekuwa m-bishi na umepoteza woga.
Naomba niishie hapa kwa leo
Tatizo ameanza kuwajua wanaume ingali bado binti
 
Ndo atakuwa Harmonize sasa.Sema kina babu Tale watashinda kwa waganga, na kumfanyia figisu mtoto wa watu ili kumkwamisha. Ila hawataweza.
Punguza gubu Dada harmonize ata theluthi ajafikia kwa diamond eboooh msieeeeeeeew
 
Acheni uzwazwa,ko m2 akiondoka WCB ndo umekua mwisho wake!!!?
Kama ipo ipo 2....
Ko ukikua; usiondoke kwenu kwenda kujitegemea!!!?
Maisha ni kupanga,na kupanga ni kuchagua.....
Hizo ni dalili za uoga,na uoga ni umaskini....
Na maskini wengi 2na mindset kama hizi ndo maana ha2toboi.
Ahaaaah asepe atoamini kama maji yanakuwaga maaah
 
Nauliza kwa WCB fans, kwann wanasema Harmonise au sijui konde boy akitoka WCB watafuta nyimbo zake na hawatamsapoti na kumtukana matusi kibao, kwamba wanaashabikia mziki mzuri na msanii mzuri au wanashabikiaa timu nzima ya WCB hata kama wanatoa nyimbo mbaya
Unajua maana ya WCB4LIFE?,yaani tunaangalia label kwanza ndo anafata msanii eboooooh
 
Duuu 3M kwa siku,kweli hapa ndo naamini kuna usanii na wasanii. Yaani hyo 3M hata Magufuli mwenyewe raia no.1 tz hatumii hyo Pesa per day.yaani hata mo dewj
Nani alikwambia jiwe ni RAIA namba moja,na wasiwasi na elimu yako.
 
Back
Top Bottom