Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

wizkid aliondoka kwa banky w mapema tu baada ya kutoa show me ur money na mbona katusua? angebaki angekuwaje?
pantoranking alisepa boston music mapema tu now anatusua na aliondoka pale akiwa na ile hit ya girlie o!
mr P toka aanze kujisimamia mwenyew sasa ana lebel na msanii wake (singah) na anafanya powa.
tatizo bongo fitna nyingi wivu, tamaa ndo zinarudisha nyuma wengine!
kama huyo mkubwa fella yeye kama meneja anashindwaje kujua msanii yuko ndani ya mkataba au lah? et kaskia kwenye mitandao!
kufanya hivo ni kujarbu kuonyesha kuwa harmo hana shukran, ana kiburi, jeuri!
wao wampe baraka kama kaamua kuanza maisha yake. nae aage vizuri basi that's life!
Ahaaaah Mr p naye ni msanii katika wasanii au huyo singah jina kama muhindi naye ni msanii be serious girl come on.
 
Hapo imecost zaidi ya 3m eboooh
Nimeshindwa kuelewa hapo chenye thamani ni kipi? Hizo sofa au picha yenyewe?

Sofa hizo hazina maajabu yeyote zimepewa hadhi na camera pamoja na edit za hapa na pale lakini kiuhalisia hazina utofauti na zile za pale keko. Sofa hizo zimechongewa kwa ngozi za kwenye siti za magari na thamani yake haizidi hata laki 5

Kwenye picha hapo haizidi 20k, zaidi ya hapo amepigwa na wahuni (kaingizwa mjini) huku kitaa kuna mwana anapiga picha, anaipika kwenye photoshop inatoka imeiva kwa buku 3 tu. Sasa nikimpa 5000 ampige hata ebitoke kisha amlipue na photoshop then ni post Instagram halafu tufanye comparison, huyu demu wa mwakyusa lazima afichwe.
 
Ahaaaah Mr p naye ni msanii katika wasanii au huyo singah jina kama muhindi naye ni msanii be serious girl come on.
naona unataka kuliwa kwa nguvu.
usijali sana nyie mna haki zenu siku hizi, so pita hivi tu usije kwenda kwa fatuma karume kunishtak.
 
Toa ushoga hapa Mombasa panakuhusu eboooooh
wewe unachokitafuta utakipata muda sio mrefu.
ngoja niwastue mabaharia naona ujapigwa ukuni kitambo

nini kilichokufanya uanze kunikoti kama sio shobo rudi uko uko mombasa si ndo kwenu?

uzi wote we ndo una replay kila mtu! nn hiki kama sio tu unataka kupigwa ukuni?

sema tu kama umenipenda me nifukue tope hilo
 
Back
Top Bottom