Hilo neno mpenzi halimaanishi mpenzi wa kimahusiano ni neno ambalo walokole wanalitumia Sana katika maongezi hata me Kuna mlokole ananita hivo ndo maana limenikaa Sana Tena ni mtu ambaye ana familia kabisa tena ananita mbele ya mumewe na Wala hakuna tatizo nafikiri utakuwa umenipata vizuri.Toa neno mpenzi. Sina mpenzi JF na wala sihitaji. Kulikua na dramania ila imeharibika siku hizi. Kuangalia jaribu dramanice,kissasian
Hilo neno mpenzi halimaanishi mpenzi wa kimahusiano ni neno ambalo walokole wanalitumia Sana katika maongezi hata me Kuna mlokole ananita hivo ndo maana limenikaa Sana Tena ni mtu ambaye ana familia kabisa tena ananita mbele ya mumewe na Wala hakuna tatizo nafikiri utakuwa umenipata vizuri.
Asante kwa maelezo murua ulionipa.Kijana angalia hapa. Dramacool9.com ukiipata movie click download kisha chagua 480p uzito wa kudownload maana 720p huwa inachukua muda kidogo
innocent dependent
aingie kwny madawa mara ngap mkuu?hao jamaa wanasukuma bidhaa sanaa huko mbelee,ukitaka kujua hili kuna kipnd dogo alikuw Ghana kapost akiwa na anavuta yale ma sigger,boss alimuamshia kinoma nomaDogo harmo namuonea huruma Sana asije baadae kuingia Kwenye madawa yakulevya huu mziki ni mgumu kwel kwel hautegemei kipaji pekee ndo maana jux,benpol,Ruby,barnaba wanatruggle hawakui kimziki japo wanavipaji vikubwa kuliko hata harmonize.
Team Kiba ...kazi mnayoAnasema Harmonize kuwepo au kutokuwepo wcb vipo kwenye makaratasi sasa kama ameondoka wakae chini watengue makaratasi.. Mzee sunajua Kwangwaru ilompa jeuri ni mali ya wasafi?
Hawafanywi wasimfikie diamond Bali dogo diamond ana uwezo Mkubwa zaidi yao na ni hard worker haswa aseeKwani nje ya WCB wapo waliomzidi Diamond!?
Diamond ni sahihi ila hao wengine cjui king Kiba ana ghorofa, rayvan cjui ana maswimming pool,konde cjui ana mgorofa Wa hatari, hizo ni Instagram tu!!Kwamba Dai hana hata nyumba?Zile pesa anazotoa msaada hazifikii kujenga nyumba?
Acheni uongo wadau.
HawatawezaAnaenda team kiba [emoji3]
Hapo utaona mawingu watakavo ingilia katii
kuliko kuuza nafsiUkiona mtu anajitoa WCB anajua sababu na anajua matokeo yake.
Moja ya matokeo ni kushuka ila anakubali kuwa huru
Haya maneno yako nakumbuka yaliimwa sana Rich Mavoko mpaka akayaamini na kutoka ili amzidi Diamond, alifanya uamuzi sahihi na sasa amemzidi sana Diamond kwani hakuna tena kabari aliyokuwa akikabwa alipokuwa WCB.Ukiwa under wasafi,umaarufu utaupata sawa ila lazima watamake sure usimzidi Diamond.
Umeuliza swali gumu sana,mbona hauna huruma kiasi hicho?Kwani nje ya WCB wapo waliomzidi Diamond!?
NI wapi pasiponyonya? Kila mahali wanakunywa. Clouds wanakunywa Sana. Mameneja wengi wao ni kupe Sana. Nyinti mnao nashauri mjuwe biashana ni matangazo na WCB Wana vitu vya matangazo TV. RADIO wanamtandao mkubwa sana wa biashara ya mziki wa NDANI na njee. Mtoto wa watu wasije akawateja Sasa hivi. Na wakucheka NI sisi wenyewe. Atuliye, anachokipata ashukuru Mungu. Atakuwa tajiri polepoleUlitaka aseme? Angalia vitendo.
Wapi? Kwa joho wa Mombasa? duuu.... Joho wanamtuhumu kuwa anawatumia wanamziki wa bongo kuhuza Madawa aka ungaa ... Kwa mbaaali wanawafuatilia ......... Asiende hukoAnaenda team kiba [emoji3]
Hapo utaona mawingu watakavo ingilia katii
Ukiwa under wasafi,umaarufu utaupata sawa ila lazima watamake sure usimzidi Diamond.
Hivi yule Harmonise aliyekuwa hana uhakika wa kula na kulala hata angeambiwa aingie mkataba atapewa chumba cha kulala tu na atahudumiwa chakula angeweza kukataa? Priorities za kwanza kwenye maisha huwa ni channels, kuji'brand na kutengeneza solid foundation, mtu mwenye uwezo wa kuweka masharti wakati wa kusainiwa ni yule ambaye label inamuhitaji kwa kujitangaza kuliko yeye anavyoihitaji label katika harakati zake za kutafuta mafanikio na kuya'maintain.Mojawapo ya matatizo makubwa kwa wasanii Tanzania ni kuingia mikataba bila kuitafakari. Kuna watu wanaingia mikataba ya kutumikia kampuni kwa miaka mitano mpaka kumi wakiwa wanaiachia kiasi fulani mapato yao ambayo inaweza kuwa 20% hadi 50%; hiyo siyo mikataba ya busara kabisa. Mikataba mingi ya sanaa na michezo huwa haidumu zaidi ya miaka mitatu kwa vile wahusikia wakuu huwa wanakua anabidlikia kulingana na umri. Niliwahi kusoma mkataba wa Mr Nice nikasema du! Hivi huyu aliyesaini alikuwa na akili timamu kweli?
Ulilosema ni sawa, lakini si unaona kuwa tatizo linaanzia hapo? Hiyo mikataba ya muda mrefu inatakiwa ipigwe marufuku. Mtoto wa miaka kumi na nane anapotaka kujaribu usanii wa muziki eti anapewa mkataba wa miaka kumi, na kwa vile yuko desparate anakubali tu, je ikitokea kuwa baada ya miaka mitatu anataka abadili uelekeo wa maisha labda aingie kwenye siasa au biashara nyingine utamzuia? Kumbuka hawa vijana bado wana opportunities nyingi sana za kujaribu maishani. Mikataba hiyo ya miaka kumi ni kama kifungo cha maendeleo yao. Kuwe na limit ya umri wa mkataba, labda miaka mitatu mitatu renewable. Huwezi kusikia mchezaji wa mpira kapewa mkataba wa miaka kumi, nilizoma mikataba hiyo ya miaka kumi kwa wasanii wa Tanzania tu.Hivi yule Harmonise aliyekuwa hana uhakika wa kula na kulala hata angeambiwa aingie mkataba atapewa chumba cha kulala tu na atahudumiwa chakula angeweza kukataa? Priorities za kwanza kwenye maisha huwa ni channels, kuji'brand na kutengeneza solid foundation, mtu mwenye uwezo wa kuweka masharti wakati wa kusainiwa ni yule ambaye label inamuhitaji kwa kujitangaza kuliko yeye anavyoihitaji label katika harakati zake za kutafuta mafanikio na kuya'maintain.
Hata wafanyakazi(waajiriwa) na makampuni kama Vodacom, Tanzania Breweries and the likes kiuhalisia wananyonywa sana kulingana na jinsi kampuni hizo zinavyoingiza mapato huku waajiriwa wakiwa ndiyo wanaovuja jasho kila siku.
Kujitegemea huwa ni jambo zuri sana lakini ni kamari(gamble) pia kwani unaweza kufanikiwa tena sana at times hali kadhalika unaweza ukaangukia pua ukajuta na kutamani kurudi kambi uliyoinyea.
It's a fifty fifty scenario.