Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

Wanajua mshiko utapungua. Kila show akipiga asililimia 80 inakwenda wasafi. Si utumwa huo jamani.
We umejuaje wasafi wanachukua 80%? We unajua how much WCB wametumia kumfanya harmo awe hivyo?hiv wewe Bila wcb huyo harmo ungemfahamu?
 
Nyumba yenye swimming yap kajenga?Show off za insta zinawadanganya sana. Hivi unajua boss wako Domo hapo anapoishi sasa kapanga?
Kwamba Dai hana hata nyumba?Zile pesa anazotoa msaada hazifikii kujenga nyumba?
Acheni uongo wadau.
 
Nyumba yenye swimming yap kajenga?Show off za insta zinawadanganya sana. Hivi unajua boss wako Domo hapo anapoishi sasa kapanga?
Hahahahahaha wivu utakuua. Fanya kazi.
 
Acheni uzwazwa,ko m2 akiondoka WCB ndo umekua mwisho wake!!!?
Kama ipo ipo 2....
Ko ukikua; usiondoke kwenu kwenda kujitegemea!!!?
Maisha ni kupanga,na kupanga ni kuchagua.....
Hizo ni dalili za uoga,na uoga ni umaskini....
Na maskini wengi 2na mindset kama hizi ndo maana ha2toboi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…