Said Intabazonkiza (Young African new player)

Hakuna club hapa Tanzania yenye macho ya kuona wachezaji wazuri wa nje wa kuwasajili kama YANGA, ile mikia huwa inasubiri Yanga isajili yenyewe inyakuwe tu

Bad enough huwa wanaenda kuwa mizigo kule kwao.

Ref: Ajibu, B. Morrison na wengine.
 
Kweli kabisa'
 
Binafsi namuombea awe namuendelezo mzuri pindi akianza kuitumikia young Africans,, kila la kher said ntibazonkiza your now green and yellow
 
Kwani ajibu alikuwa yanga au simba, ajibu alikuwa simba, then akaenda yanga , ndipo tukamrudisha home, nyie labda mseme morrison, but msisahau mliwahi mchukua mbuyu twite kinyemela !! Simba na yanga ni walewale!
Hakuna club hapa Tanzania yenye macho ya kuona wachezaji wazuri wa nje wa kuwasajili kama YANGA, ile mikia huwa inasubiri Yanga isajili yenyewe inyakuwe tu

Bad enough huwa wanaenda kuwa mizigo kule kwao.

Ref: Ajibu, B. Morrison na wengine.
 
Hakuna club hapa Tanzania yenye macho ya kuona wachezaji wazuri wa nje wa kuwasajili kama YANGA, ile mikia huwa inasubiri Yanga isajili yenyewe inyakuwe tu

Bad enough huwa wanaenda kuwa mizigo kule kwao.

Ref: Ajibu, B. Morrison na wengine.
Ajib alionwa na Yanga?
 
Yikpeeee
Hakuna club hapa Tanzania yenye macho ya kuona wachezaji wazuri wa nje wa kuwasajili kama YANGA, ile mikia huwa inasubiri Yanga isajili yenyewe inyakuwe tu

Bad enough huwa wanaenda kuwa mizigo kule kwao.

Ref: Ajibu, B. Morrison na wengine.
 
Kuna klabu wanasema wao hawasajili wazee..

Huyu Saidi ana miaka 33
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…