Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki vilaza 90% wapo Yanga.Sawa,maana hata wale wachezaji wakali wengine wa kigeni,waliowahi kuja kucheza hapa nchini, nao mlianza kuwaona nyinyi. Very ridiculous!
Ni Yanga ndo walianza kuwaona:William Fahnbuler (Liberia),Ramadhan Wasso (Burundi), Emeh Ezechukwu na Orji Obina (Nigeria), Patrick Ochan, George Owino, na Emmanuel Okwi (Uganda), Moses Odhiambo na Hillary Echesa (Kenya), Gerson Fraga (Brazil), Clatous Chama (Zambia) na wengineo.
Wote hao na wengineo waliletwa nchini na Yanga.Very ridiculous indeed![emoji33]
Rage anamajibu ya hii statementMashabiki vilaza 90% wapo Yanga.
Kama inauma chomoaUtopolo
Malizaneni na babu onyango 45yrsKuna klabu wanasema wao hawasajili wazee..
Huyu Saidi ana miaka 33
Manara aliwahi kupanga kikosi cha dunia akamuweka Modric nje Chama ndani. Halafu unaamini mashabiki vilaza wako Yanga?! Na huyo ni kiongozi kabisa.Mashabiki vilaza 90% wapo Yanga.
Onyango u-17Malizaneni na babu onyango 45yrs
Juma Balinya aliyetekwa getini na kuibukia kubwa kulikoAjib alionwa na Yanga?
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1656256
Mik*** ya msimbazi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1656256
AiseeeManara aliwahi kupanga kikosi cha dunia akamuweka Modric nje Chama ndani. Halafu unaamini mashabiki vilaza wako Yanga?! Na huyo ni kiongozi kabisa.
Kuna nyuzi ya wachangiaji Bora football wa Mwaka 2020,wewe upo kwenye kipengele cha kuokota habari kwenye vijiwe vya kahawa.Wazazi tuwalee watoto wetu vizuri laa sivyo wataishia kuwa mashabiki wa Utopolo
Goal la kichwa kutokana na Kona hata mkeo anaweza kufunga akijipozisheni vizuri.Hivi nani walifunga magoli siku Yanga amepata sare ya 1-1 kutoka kwa Simba?