Nan anataka ijulikane Zanzibar, Kwa taarifa yako kukiwa na fair politics mtu anaweza kushinda urais bila haya kura moja ya Zanzibar.Kwanza tuseme ukweli tu hii chadema kwa upande wa Zanzibar haijulikani haswaa
Uzuri wa kitimoto ni lazima umkane mbele za watu. Ili jambo ndilo linalofanya huyu My wetu kuzidi kupanda thamani siku hadi siku.. maana wanaomkataa hadharani ndio tunakula nao mafichoni.
Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche @hechejohn kumheshimu na kutokutoa lugha zisizo sahihi dhidi yake ikiwemo ya kuwa ‘akazie swaum kwa kula nguruwe'. Akieleza kuwa yeye ni muislam na ulaji wa nguruwe kwa misingi ya dini yake hauruhusiwi(haramu)
Said ameyasema hayo leo Machi 05, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa kauli hizo za Heche zinalenga kupotosha ukweli ambao amekuwa akiusema juu ya kutokuwa na uwiano kwenye mgawanyo wa mali za CHADEMA.
Pia Soma: Said Mohamed: Hatujaenda mahakamani kuiua CHADEMA, bali kuiimarisha ifanikiwe
“tuheshimiane tu kwenye dini, Heche ni Mwenyekiti wangu wa vijana kwa hiyo tuheshimiane tu kwenye dini Waislam kula nguruwe ni haramu sasa yeye anavyosema nikale nguruwe kukazia sjui swaum kwa sababu nazungumza uongo”
Said Issa kweli lkn unachokifanya dhidi ya chadema hata iblis anakushangaa

Kama umekubali kutumiwa na serikali haramu kukihujumu chama unachodai wewe ni sehemu yake unashindwaje kula nguruwe?
Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche @hechejohn kumheshimu na kutokutoa lugha zisizo sahihi dhidi yake ikiwemo ya kuwa ‘akazie swaum kwa kula nguruwe'. Akieleza kuwa yeye ni muislam na ulaji wa nguruwe kwa misingi ya dini yake hauruhusiwi(haramu)
Said ameyasema hayo leo Machi 05, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa kauli hizo za Heche zinalenga kupotosha ukweli ambao amekuwa akiusema juu ya kutokuwa na uwiano kwenye mgawanyo wa mali za CHADEMA.
Pia Soma: Said Mohamed: Hatujaenda mahakamani kuiua CHADEMA, bali kuiimarisha ifanikiwe
“tuheshimiane tu kwenye dini, Heche ni Mwenyekiti wangu wa vijana kwa hiyo tuheshimiane tu kwenye dini Waislam kula nguruwe ni haramu sasa yeye anavyosema nikale nguruwe kukazia sjui swaum kwa sababu nazungumza uongo”
Hili nalo! Wapi alikuta mtu akila nguruwe, watu hula nyama ya nguruwe.

Inasikitisha sana watu wanadhulumu hadi mwezi mtukufuSaid Issa kweli lkn unachokifanya dhidi ya chadema hata iblis anakushangaa
Hoja sio chadema.. Hapa hoja ni nguruwe,Kwanza tuseme ukweli tu hii chadema kwa upande wa Zanzibar haijulikani haswaa
hata kwenye biblia nguruwe ni haramu , MkuuNguruwe imeharamishwa kisiasa mno kwenye hiyo dini.
Kama ni NO iwe NO,siyo kama hakuna namna ruksa kula.
Huyu Said Issa Mohammed ana akili ya kuku!
Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche @hechejohn kumheshimu na kutokutoa lugha zisizo sahihi dhidi yake ikiwemo ya kuwa ‘akazie swaum kwa kula nguruwe'. Akieleza kuwa yeye ni muislam na ulaji wa nguruwe kwa misingi ya dini yake hauruhusiwi(haramu)
Said ameyasema hayo leo Machi 05, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa kauli hizo za Heche zinalenga kupotosha ukweli ambao amekuwa akiusema juu ya kutokuwa na uwiano kwenye mgawanyo wa mali za CHADEMA.
Pia Soma: Said Mohamed: Hatujaenda mahakamani kuiua CHADEMA, bali kuiimarisha ifanikiwe
“tuheshimiane tu kwenye dini, Heche ni Mwenyekiti wangu wa vijana kwa hiyo tuheshimiane tu kwenye dini Waislam kula nguruwe ni haramu sasa yeye anavyosema nikale nguruwe kukazia sjui swaum kwa sababu nazungumza uongo”
Swali langu la msingi ni kwamba: kwanini wakati wa mfungo wa ramadhani mauzo ya kitimoto hupungua sana!
Hoja sio chadema.. Hapa hoja ni nguruwe,
Uzuri wa kitimoto ni lazima umkane mbele za watu. Ili jambo ndilo linalofanya huyu My wetu kuzidi kupanda thamani siku hadi siku.. maana wanaomkataa hadharani ndio tunakula nao mafichoni.
Nguruwe imeharamishwa kisiasa mno kwenye hiyo dini.