Said Lugumi avunja ukimya kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoikabili kampuni yake

Said Lugumi avunja ukimya kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoikabili kampuni yake

Hahaha tamko bado halijajitosheleza kwanini hataji vituo kwa idadi na kwanini anadhani kama tukikuta vituo kadhaa havijafungwa polisi ndiyo wawajibike while mkataba ni wa pande mbili?
 
Ndugu yangu Lugumi nadhani angenyamaza sababu anaongeza maswali juu ya maswali.
1. Kitwanga alishakana juu ya kadhia hii, wewe unasema mlimpa tender ya kufunga mitambo yote,
2. Tatizo lilionekana ni utangazwaji wa tender, International standards zinatakiwa siku 45 hii ya kwako uliishinda kwa mlango wa nyuma kwani inasemekana ilitangazwa siku moja,
3. Ubora wa mitambo uliyofunga iko negatively corellated na ghalama halisi ulizolipwa, invoice ilikuwa overpriced sababu tunaangalia udhamani wa bilion 34 na kazi uliyofanya hakuna uwwiano.
kama bei ndo hii ina maana kwa kila mtambo ulifungwa kwa zaidi ya milion 342. 37bil/108
hii haingii akilini.
na mwisho labda usingemuongelea kabisa, sababu unasema hajakusaidia kupata tender na kama angekusaidia ungevunja sheria? unasemaje?????????????? nashindwa kuelewa kwanini kichwa chako kigumu ku connect dots. this is very simple and it will never be an excuse at any levels, may be only to stupid minded people. else you will be in for it.
 
Kama kuna ukweli wa hili basi Rais MAGUFULI ana kazi ya kutumbua majipu na aanze na hawa sio danganya Toto anayoifanya kwa wananchi Masikini.

Zamu ya Jeshi la polisi...Mkataba kapewa kampuni inaitwa LUGUMI...

Mkataba wa kufunga vifaa vya finger printi nchi nzima Kwa gharama ya SH. BILLIONI 37.

mpaka sasa huyo LUGUMI kafunga vituko 14 tu.

Polisi wemepewa siku tatu an kamati ya PAC watoe maelezo.

Walahi hii nchi hii?

HUYO LUGUMI NI NANI?
lugumi
Follow that link...
[06/04 05:01] Mwandupe: Name: Said Hamad Lugumi

DoB: 1972

Place of birth: Magu, Tanzania

Nationality: Tanzanian

Company: MESSRS Lugumi

Key business associates:

1. Ridhiwani Kikwete (Tanzanian lawyer, Member of Parliament in the Tanzania’s national parliament and son to the 4th President of Tanzania)

2. Said Mwema (former Tanzania’s Inspector General of Police who is also Said Lugumi‘s father in-law)

Business channels:

1. Forensics
2. ICT
3. Corporate Printing
4. Drug trafficking (unconfirmed)

Background

Said Lugumi was born in Magu, Mwanza Tanzania in 1972. He was born from Christian parents but later converted to Islam. He was never educated beyond Tanzania’s Primary School System which is a 7 years elementary education. As a young man he grew up as a shoeshiner in Mwanza and later made his way to Dar es Salaam (Tanzania’s main commercial capital) in early 1990s. In Dar es Salaam, Said Lugumi lived in a couple of third class suburbs including Mwananyala area going on with his earlier “profession” (shoe shinning).

A lucky man

Through lucky, Said Lugumi met Said Mwema’s daughter and the two fell in love and eventually married. With influential inlaws Said Lugumi was led to establish Lugumi Enterprises initially dealing with corporate printing and fumigation and later diversified to forensics and ICT. Pictured, Air Tanzania House Dar es Salaam city centre where MESSRS Lugumi offices are located.

Lugumi Enterprises

Is a forensics and ict company famous for huge annd shoddy deals in Tanzania and now crossing to other East African countries. The key clients are government institutions including the Tanzania Police Force which until recently was under Said Lugumi‘s father inlaw – Said Mwema.

Unlike other suppliers to the government, Lugumi Enterprises payments aren’t delayed and are cleared within days or few weeks of any business. This has been a controversial issue and widely discussed within Tanzania’s most famous political forum, The Jamii Forums. Pictured, KZ Security, a new MESSRS Lugumi subsidiary.

Key shareholders in this firm are Said Lugumi, Said Mwema and Ridhiwani Kikwete.
The company has been one of the key symbols of corruption in Tanzania’s government under President Kikwete and a symbol of law enforcement willingness from the Tanzania’s government. (A list of businesses between the company and government institutions like the Police Force shows a clear violations of Public Procurement Procedures)

Said Lugumi has also been rumoured to take part in drug trafficking allegations that are putting him in close scrutiny by the US Department of State and other international law enforcement agencies. In Dar es Salaam he’s known for his lavish lifestyle, sexual scandals with hundreds of women among other controversies. Pictured, company officials donating equipment to schools in their struggle in CSR. A new strategy by another MESSRS Lugumi subsidiary RAN IT to harness new markets.

International affiliations

Where Lugumi Enterprises stands today brings a lot of “fear” on it’s future in business within and outside Tanzania. It’s shaky reputation will soon chase away international partners and it’s illegal patronage from the current Tanzania government is coming to an end as President Kikwete’s second term ends in November 2015.
Some of it’s international partners are Jino Motors, Foster & Freeman and Bio Metrica. It’s now in the hands of these reputable international firms and other players in forensics and ict who are interested on investing in Tanzania and East Africa to rethink if this is a company that they would like to partner with.
 
Watanzania tuna wivu na wenzetu waliofanikiwa Lugumi ameanza Kama fundi viatu those time hakuna aliyeongea wala kumpa mtaji wa Gundi na Rangi Kwa ajili ya viatu vyake.

Lugumi Leo amefanikiwa wote kelele!
 
1. Kitwanga alishakana juu ya kadhia hii, wewe unasema mlimpa tender ya kufunga mitambo yote,
Siungi mkono Lugumi lakini ni wapi kwenye maelezo hapo juu amesema LUGUMI WALIIPA INFOSYS TENDER YA KUFUNGA MITAMBO?!!!!
 
Hatimae kampuni ya LUGUMI imejitokeza na kuelezea taarifa mbalimbali zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii na kuita taarifa hizo ni za uzushi.

Sehemu ya taarifa hii inasema nanukuu;

“Hivi karibuni kumekuwa na habari zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa namna ambayo inapotosha ukweli kuhusu kampuni yetu iliyotekeleza mradi huu muhimu kwa nchi yetu na, mradi wa AFIS. Aidha taarifa hizo katika mitandao na magazeti mbalimbali imekuwa ikitoa habari zisizo na ukweli wowote kuhusu mtendaji mkuu Bwana Said H. Lugumi.

Ukweli ni kwamba mnamo mwaka 2011 Jeshi la Polisi liliingia mkataba na kampuni ya Lugumi Enterprises Limited wa kufunga mitambo ya utambuzi kwa kutumia alama za vidole (AFIS) katika vituo vya Polisi kwa mujibu wa matakwa ya Jeshi. Vituo vilikuwa nchi nzima Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar.”

Pia kuna sehemu ya taarifa hii inazidi kuchanganua nanukuu;

“Kwa mantiki hiyo basi, mambo yaliyo mengi yalitajwa katika vyombo vya habari si ya kweli na ni upotoshaji mkubwa na ni muhimu kuyapuuza, na kuendelea na shughuli za kawaida za ujenzi wa taifa. Ni katika muktadha huo huo tunapenda kuujulisha umma kwamba tuhuma nyingi za uzushi zimetungwa kumwelekea Mtendaji Mkuu Bwana Said H. Lugumi ikiwemo kuzushiwa kutoroka na kukamatwa nje ya nchi na kadhalika. Taarifa hizo ni uzushi mtupu, ni za kupuuza, Mkurugenzi wetu nchini na anaendelea na shughuli zake za kawaida”.

Soma zaidi kupitia viambatanisho hivi.

View attachment 340959

View attachment 340961

=========================
mkalamo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ndugu waandishi wa habari , nimewaita hapa leo ili niweze kutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa kwa niaba ya Kampuni yetu ya LUGUMI ENTERPRISES LTD, kwa siku kadhaa kumekuwa na habari mbali mbali za kuchafua na kudhalilisha Kampuni yetu pamoja na Mimi Said Lugumi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu.

Nitafafanua mambo yafuatayo kama majibu ya kadhia ambayo sisi na Washirika wenzetu katika shughuli zetu za kibiashara tumekutana nayo ,

Kampuni ya LUGUMI ENTERPRISES LTD ilipewa zabuni ya kufunga na kusambaza mitambo ya kuhakiki alama za vidole mnamo mwaka 2011 na kazi tuliifanya kwa kushirikiana na Washirika wenzetu wa kibiashara nje ya Nchi Kampuni za BIOMETRICA LLC (USA) na BIOLINK (RUSSIA) , tumefanikiwa kufunga na kusambaza mfumo wa alama za vidole (AUTOMATED FINGER PRINTS IDENTIFICATION SYSTEM – AFIS ) katika maeneo yote ya Nchi yetu na kwa uadilifu kama ambavyo mkataba ulivyohitaji.

Pamoja na kashfa nyingi dhidi ya Kampuni yetu na hususan Mimi binafsi , ukweli ni kwamba hakuna ufisadi wala wizi uliofanyika katika biashara hii muhimu na ya siri , kazi au biashara zinazohusu mambo ya ndani ya usalama wa Nchi zina mashariti yake na itifaki yake , ndio sababu taarifa hii inakusudia kuwatoa wasiwasi ndugu zetu , marafiki zetu na washirika wenzetu na sio kusema hadharani mienendo ya shughuli na zabuni za kazi za namna hii.

Ni uhakika kwamba Rais wetu Mh Dr John Pombe Magufuli , amedhiirisha pasipo hofu uwezo wake wa kupambana na ufisadi , wizi , utovu wa nidhamu katika utawala wake , hivyo basi kazi hii niliyoifanya na Jeshi la Polisi inaniweka Mimi na Kampuni yangu kwenye wakati rahisi wa kukamatwa na kuhojiwa juu ya tuhuma za kuibia taasisi iliyopewa mamlaka ya kupambana na uhalifu Nchini , sifikiri wala sidhani kama uhalifu wangu unasubiri Kamati ya Bunge kuthibitishwa , ni rahisi sana kwa Jeshi la Polisi kujua je vifaa hivi viko kwenye vituo vya Polisi au haviko ? na kama haviko kwanini Kampuni yangu ililipwa ? na kama nimelipwa kwa kazi ambayo sikuifanya , wale wote walio husika na mchakato wote wa kuhakiki kuwa kazi imefanyika na kuidhinisha malipo kwa kazi hiyo , wanasitahili kuwa wapi ?

Ninaona hii ni vita ya kibiashara dhidi yha Kampuni yangu , ndio sababu wengine wanahoji vitu vyepesi visivyo na ufahamu , kuwa imekuwaje mimi kupata kazi kubwa kama hii ? Ndoto yangu katika biashara zangu , hii kazi kwangu bado ni ndogo , nimefika hapa kwa kupitia maisha magumu sana , kuna wakati niliishi bila kula na bila kuwa na kazi , lakini siku zote nimekuwa nikiwaza kufanikiwa katika maisha na hapa nilipofika nimefika kwa sababu ya BIDII , MAARIFA , UTHUBUTU NA UJASIRI na safari yangu ya maisha inakwenda mbele zaidi ya hapa.

Mengi yametajwa kuhusu mahusiano yangu na Mh Riziwan Kikwete na wengine kudai kuwa ni mmoja wa wamiliki wa Kampuni ya Lugumi . Ukweli ni kwamba hana hata hisa moja katika biashara zangu ila Riziwan ni rafiki yangu , wengine wanasema kuwa yeye ndio amefanikisha shughuli zangu hizi zote , ukweli ni kwamba sio kweli kama inavyosemwa kwenye mitandao ya kijamii na magazeti mbali mbali , lakini hata kama angekuwa amesaidia kwa namna moja au nyingine kufika hapa nilipo fika kibiashara , je ningekuwa nimevunja utaratibu na sheria za Nchi ?

Kwa bahati mbaya katika Nchi yetu shughuli za biashara kubwa zinaonekana kuwa ni za Watu na makundi maalumu na sio za Watanzania kama LUGUMI , ndio sababu hoja zote kwenye mitandao ya Jamii na magazeti zinahoji ninawezaje kufanikiwa katika kiwango hiki wakati Mimi ni Mtoto wa masikini ? Jibu ni rahisi , NACHUKIA UMASIKINI .

Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Charles Kitwanga anajua ukweli wa jambo hili , kwani Kampuni yake ya INFOSYS ndiyo ilipewa dhamana kiufundi ya kuunganisha mitambo yote tuliyoisamabaza katika vituo vyote vya Polisi kama tulivyoelekezwa kwenye mkataba na Jeshi la Polisi , Je sio rahisi sana kwa Waziri kulisidia Bunge ili kupunguza gharama za utafiti na kuchafuana kwa kiwango hiki kunako endelea ?

Katika Vyombo vya habari mbali mbali imeripotiwa kuwa vituo vilivyofungwa mfumo havizidi kumi na tano , jambo ambalo , Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) anaweza kuwa na majibu mazuri kuliko Mimi , nawashauri mkamuulize , ila ripoti kutoka ofisini kwetu ambayo imesainiwa na Maafisa mbali mbali waandamizi wa Jeshi la Polisi , inathibitisha kuwa kazi hii imeshafanyika kwa asilimia zaidi ya 99%.

Mwisho , kasi ya Rais wetu katika utumishi wake ni nzuri ila wako Watu wanataka kuitumia vibaya ili kudhalilisha wengine na hatimaye kuwapora haki zao . Tunamuomba Mh Rais awe makini sana katika falsafa yake ya utumbuaji majipu , kwani wengine wanatafuta namna ya kulipa visasi.

Asanteni sana kwa kunisikiliza

Said Lugumi (MD)

LUGUMI ENTERPRISES LTD

Kumbe mbwembwe zote ulikuwa ni Uwongo mtupu. Haya sasa Kitwanga aje tumsikie
 
Wameshafunga mashine au bado, kama bado je wameshachukua pesa (wameshalipwa) kama wamelipwa kabla ya kufanya kazi hapo ndipo mgogoro na mwenye fedha unapoanzia, kwa maana wakala wa mwenye fedha "polisi" amekula njama na Lugumi kuchota mapesa yetu kinyume na taratibu za manunuzi.

Kutuelekeza kakipengele ka jinsi ya kushughulikia mgogoro ikiwa utajitokeza ni ishara ya kuwepo mgogoro kiukwelikweli.

Huyo mkurugenzi wa Lugumi kutembea na ma body guards kumzidi Donald Trump inatengeneza picha kuwa anatumia kutoka kwenye matumizi asiyostahili (Limbukeni)

Kwa mujibu wa taarifa za uhakika ni kuwa zoezi limekamilishwa.
 
Tunashukuru tu kwa kutufungua macho kwamba siyo yeye pekee aliyepiga na waziri naye yumo.Hiyo imekaa vyema.Au kwa maana nyingine tupo wengi siyo mimi tu.Hivyo IGP wa wakati huo achunguzwe,katibu mkuu achunguzwe,na waziri pia.Lugumi tunaomba tutajie na wabia wako usije ukafa kifo cha mjomba.
 
Hii story imeshasahulika Kitwanga alivyopigwa chini.

"Mafisadi nchi hii wakiguswa nchi itatikisika"-Pinda
 
Task: Value for Money Audit

Project: Provision of ......................... facilities

Contractor: Lugumi Enterprises & Infosys JV

Employer: Ministry of Home Affairs and Internal Security

Main findings:
1. Contract signature date ................
2. Contract start date 2011?
3. End of Contract date .................
4. Contract Sum =Tshs 36 Billion
5. Amount paid to Contractor =Tshs 35 Billion (~99%)
6. 128 nos of ........... facilities were to be provided
7. 14 nos of ............ facilities were provided
8. Only 2 nos of ........ facilities provided are working. Therefore work progress = (2/128)x100=1.5%

Conclusion & Recommendations

1. The Contractor was paid more than the actual work executed which caused loss of public funds. Therefore the Contractor must refund the extra funds disbursed to him. Also the Accounting Officer in the Ministry approved the payment must be brought to BOOK!

2. Ongezea nyingine!!
 
fingerprinting.jpg

ungeweka na bei yake ya manunuz?
 
Back
Top Bottom