Said Mtanda amepwaya Mwanza, impendeze Rais atuletee Kenani Kihongosi ambaye sasa yuko Simiyu

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Mkoa wa Mwanza ni mkoa "injini", kama ni timu, basi mwanza ni " Kiungo mchezeshaji".Kwa Kanda ya ziwa, Mwanza ikipiga chafya, mikoa jirani lazima nguo zipeperuke kutokana na upepo. Hakuna mtu aliyejipata wa Kanda ya ziwa asiyewekeza Mwanza. Mkoa unahitaji damu changa ya amsha amsha.

Mkoa una miradi mingi ya maendeleo ambayo inahitaji kuifuatilia mguu kwa mguu, kuisemea kwa wananchi. Damu changa maana yake akiamka hana haja ya kupima presha wala kisukari kabla ya kuvaa gambuti na kuvuka kwenda ukerewe na ukara kukaa na wavuvi wakijadili changamoto zao, na hata kuvuta kokoro kidogo, sengerema, misungwi, Magu, Kwimba.

Kuingia mashambani kupanda mpunga na wakulima, kupanda juu ya majengo kuangalia kazi ya makandarasi.

Naona kama Mtanda ana asili ya "umwinyi" na yuko katika mikoa ya wachapa kazi. Mikoa yenye asili ya umwinyi, saa nne asubuhi hata supu mitaani hakuna.

Mwanza ina visiwa ambavyo havijavamiwa, hatuoni mkoa ukitenga visiwa kwa ajili ya mahoteli makubwa kama ilivyo Zanzibar. Mkuu wa Mkoa hatumuoni sana saiti. Kulikuwa na tamasha la Balimi la waendesha mitumbwi, limekufa. Hatumuoni Kisesa kwenye kituo cha tamaduni za wasukuma. Hatumuoni akipigia debe barabara za mawe. Hapigii debe shule kama kirumba na kitangiri na pansiansi ziwe za ghorofa. Kule kishiri na Igoma panahitaji shule mpya na vituo vipya vya afya kwa kuwa sasa kuna watu wengi, huko hajawahi hata kufika.

Mpaka sasa Mwanza haina public beach kama ilivyo Coco Beach ya Dar es salaam. Hakuna promotion ya utalii wa ziwa, pale kamanga ferry vijana wanajiongeza wenyewe tu na mitumbwi ya matete, hawapi hata mchongo wa Songoro Marine au Kampuni ya Meli Tanzania (Marine) wawachongee viboti kama corporate social responsibility.

Mwanza kuna jengo ambapo tarehe 18/09/1958, ulifanyika mkutano wa PAFMECA pale karibu na Mwanza Hotel, nani anajua?

Kenani anajua sana ku-mingle na jamii anayoiongoza, tumeona juzi kakutana na upinzani, katatua mgogoro wa Lamadi kwa wajuaji na mambo mengi.

Nashauri kama Rais akiamua kuchekecha wawakilishi wake, basi Mwanza amlete Kenani Kihongosi.

Nasema tu, mimi sio mwana Simba
 
Mkoa wa Mwanza ni mkoa "injini", kama ni timu, basi mwanza ni " Kiungo mchezeshaji".Kwa Kanda ya ziwa, Mwanza ikipiga chafya, mikoa jirani lazima nguo zipeperuke kutokana na upepo. Hakuna mtu aliyejipata wa Kanda ya ziwa asiyewekeza Mwanza. Mkoa unahitaji damu changa ya amsha amsha.

Mkoa una miradi mingi ya maendeleo ambayo inahitaji kuifuatilia mguu kwa mguu, kuisemea kwa wananchi. Damu changa maana yake akiamka hana haja ya kupima presha wala kisukari kabla ya kuvaa gambuti na kuvuka kwenda ukerewe na ukara kukaa na wavuvi wakijadili changamoto zao, na hata kuvuta kokoro kidogo, sengerema, misungwi, Magu, Kwimba.

Kuingia mashambani kupanda mpunga na wakulima, kupanda juu ya majengo kuangalia kazi ya makandarasi.

Naona kama Mtanda ana asili ya "umwinyi" na yuko katika mikoa ya wachapa kazi. Mikoa yenye asili ya umwinyi, saa nne asubuhi hata supu mitaani hakuna.

Mwanza ina visiwa ambavyo havijavamiwa, hatuoni mkoa ukitenga visiwa kwa ajili ya mahoteli makubwa kama ilivyo Zanzibar. Mkuu wa Mkoa hatumuoni sana saiti. Kulikuwa na tamasha la Balimi la waendesha mitumbwi, limekufa. Hatumuoni Kisesa kwenye kituo cha tamaduni za wasukuma. Hatumuoni akipigia debe barabara za mawe. Hapigii debe shule kama kirumba na kitangiri na pansiansi ziwe za ghorofa.

Kenani anajua sana ku-mingle na Jamie anayoiongoza, tumeona juzi kakutana na upinzani, katatua mgogoro wa Lamadi na mambo mengi.

Nashauri kama Rais akiamua kuchekecha wawakilishi wake, basi Mwanza amlete Kenani Kihongosi.

Nasema tu, mimi sio Mwanza Simba
Mwanza sasa ni mkoa wa majaribio alikuwepo Makala kilaza mmoja hivi!
Bora abaki Mtanda kuliko huyo kijana hata record yake haifahamiki!
 
Mkoa wa Mwanza ni mkoa "injini", kama ni timu, basi mwanza ni " Kiungo mchezeshaji".Kwa Kanda ya ziwa, Mwanza ikipiga chafya, mikoa jirani lazima nguo zipeperuke kutokana na upepo. Hakuna mtu aliyejipata wa Kanda ya ziwa asiyewekeza Mwanza. Mkoa unahitaji damu changa ya amsha amsha.

Mkoa una miradi mingi ya maendeleo ambayo inahitaji kuifuatilia mguu kwa mguu, kuisemea kwa wananchi. Damu changa maana yake akiamka hana haja ya kupima presha wala kisukari kabla ya kuvaa gambuti na kuvuka kwenda ukerewe na ukara kukaa na wavuvi wakijadili changamoto zao, na hata kuvuta kokoro kidogo, sengerema, misungwi, Magu, Kwimba.

Kuingia mashambani kupanda mpunga na wakulima, kupanda juu ya majengo kuangalia kazi ya makandarasi.

Naona kama Mtanda ana asili ya "umwinyi" na yuko katika mikoa ya wachapa kazi. Mikoa yenye asili ya umwinyi, saa nne asubuhi hata supu mitaani hakuna.

Mwanza ina visiwa ambavyo havijavamiwa, hatuoni mkoa ukitenga visiwa kwa ajili ya mahoteli makubwa kama ilivyo Zanzibar. Mkuu wa Mkoa hatumuoni sana saiti. Kulikuwa na tamasha la Balimi la waendesha mitumbwi, limekufa. Hatumuoni Kisesa kwenye kituo cha tamaduni za wasukuma. Hatumuoni akipigia debe barabara za mawe. Hapigii debe shule kama kirumba na kitangiri na pansiansi ziwe za ghorofa. Kule kishiri na Igoma panahitaji shule mpya na vituo vipya vya afya kwa kuwa sasa kuna watu wengi, huko hajawahi hata kufika.

Mpaka sasa Mwanza haina public beach kama ilivyo Coco Beach ya Dar es salaam. Hakuna promotion ya utalii wa ziwa, pale kamanga ferry vijana wanajiongeza wenyewe tu na mitumbwi ya matete, hawapi hata mchongo wa Songoro Marine au Kampuni ya Meli Tanzania (Marine) wawachongee viboti kama corporate social responsibility.

Mwanza kuna jengo ambapo ulifanyika mkutano wa PAFMECA pale karibu na Mwanza Hotel, nani anajua?

Kenani anajua sana ku-mingle na jamii anayoiongoza, tumeona juzi kakutana na upinzani, katatua mgogoro wa Lamadi kwa wajuaji na mambo mengi.

Nashauri kama Rais akiamua kuchekecha wawakilishi wake, basi Mwanza amlete Kenani Kihongosi.

Nasema tu, mimi sio mwana Simba
Kwa mujibu wa muundo wa utawala Tanzania, Mkuu wa mkoa hawezi leta maendeleo kokote kule.
 
Wewe kenani kihongosi fanya Kazi acha kujipigia kampeni kwa kutumia chawa

Ulipo panakutosha
 
Acha majungu,chuki, roho mbaya fitina na ubaguzi. Huyo Mtanda anatosha na ndiyo maana ameletwa hapo afanye kazi. Huo u pekee wa mwanza na maeneo mengine ni upi unao taka kuleta? Kila mkoa una uhitaji wa maendeleo.Fanya kazi na siyo majungu.
 
Back
Top Bottom