Said Mtanda amepwaya Mwanza, impendeze Rais atuletee Kenani Kihongosi ambaye sasa yuko Simiyu

Naunga mkono hoja
 
Me. Rais hayo ni majungu. Hakuna Mkuu wa Mkoa mstaarabu, muungwana, mshirikishaji watu, mpenda watu kama Mhe. Mtanda. Kwanza ana muda mfupi hapa Mwanza. Mwache amalize muda wake mpaka muda wa uchaguzi 2025.
 
Me. Rais hayo ni majungu. Hakuna Mkuu wa Mkoa mstaarabu, muungwana, mshirikishaji watu, mpenda watu kama Mhe. Mtanda. Kwanza ana muda mfupi hapa Mwanza. Mwache amalize muda wake mpaka muda wa uchaguzi 2025.
Unajua muda wake wa kukaa Mwanza?
 
Mbona kama wewe unafaa?!...wallah ningekua mshauri wa Rais, ningemshauri akuteue wewe uende pale Mwanza ukatekeleze yote uliyoyataja kwenye bandiko lako...na ungefanikiwa kufanikisha kwa asilimia 75 tuu...Mwanza ingekuwa kama Capetown.
Umeona eeehh
 
Utakuwa unal....... Na kihongosi nini?Kwa Nini upendekeze kihongosi na siyo wewe?
Mkuu, exhaust pipe (bomba la moshi) lako limepasuka tangu jamaa akutembelee na akatoka kwa mlango wako wa nyuma
 
KK unajipigia promo, ni muda sasa mama akulete Dar.
Nimependa unavyojitoa kwa wengine basi tu veggies inakufanya hatukuzingatii, ila una kitu.
 
Na mkichwa wake ule kama mgongo wa meli alafu si alihusika na tukio na yule binti yule na mkichwa wake ule kama panga
 
Huyu ni kenani anajipigia promo.

Kenani kwa taarifa yako tunajua uhasama ulionao kwa Mtanda tangu mlipopishana Arusha na kwingineko ambalo mliendelea kupishana pia.


Shida yako huwa unajionanni special sana na una akili kuliko watu wote Duniani.

In short nikwambie tu kwamba SOMA ALAMA ZA NYAKATI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…