Said Mwamba Kizota has come back to life as Kibu Dennis and Mohamed Mwameja has come back to the pitch as Djigui Diarra

Hivi Kizota alimuona kweli? Tuulize sisi tulio muona pale shamba la bibi
Km hajui kitu aulize au akae kimyaa
 
Watu wa zamani mnajionaga ni kama enzi zenu ndo mlifanya kila kitu kwa ustadi sana.
Kwani uongo? Mazingira tu ndio yalikuwa mabovu. Lakini kamwe huwezi kufananisha vipanji vya enzi hizo na siku hizi.
 
Ni kweli Kizota alikuwa mchezaji wa kipekee kwa uwezo na aliyekuwa na uwezo wa kucheza nyingi, kuanzia ushambuliaji hadi beki. Shida yangu ni kumlinganisha na Kibu, Kibu ni size za akina Thabit Bushako, hata kwa Abdi Kassim anapelea.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kibu mlinganishe na Yikpe
 
Kumbe wao ndio walioitwa vichwq vya mwendawazimu , utasikia majina makubwa wkt hata Challenge Cup tu iliwashindq
Hujui lolote, hapa wanaongelewa wachezaji Bora wa muda wote.

Hamis Tobias Gaga Gagarino, Said Mwamba Kizota, Edibily Lunyamila Kwa uchache hawa ni wachezaji ambao mpaka sasa hawana mbadala, Mohammed Hussein Mmachinga ndio anashikiria rekodi ya ufungaji bora lakini haingii kwenye orodha hiyo ni wa kawaida Tu kama kina John Boko.

Naenda Marekani au kidunia Kwenye hip-hop kuna Tupac Shakur na kwenye Pop kuna Michael Jackson hawa wote ni marehemu na mpaka Leo hakuna mbadala wake, kwahiyo Acha kupayuka Kwa Vitu msivyovijuwa.
 
Hawa hata kombe la.chalenji limewasinda kwenye vilabu ndo yale yale#hahahaha sifa za humu humu ndani tu
 
Unamkosea heshima Said Mwamba aisee, yaani unamfananishaje na mtu kontroo chumba na sebule? Huyo Kizota alikuwa fundi haswaa bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…