Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mkuu nilijua umeishajitoa JF ,baada ya yale matokeo ya Algeria, maana ulikuja kwa mbwembwe humu na utabiri wako wakiboya huku unajisifuupo sahihi
A
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nilijua umeishajitoa JF ,baada ya yale matokeo ya Algeria, maana ulikuja kwa mbwembwe humu na utabiri wako wakiboya huku unajisifuupo sahihi
A
Huyu mwamba kumfananisha na mpuuzi wako ni ujinga baba tosha alikuwa mtu na nusu George weah mwenyewe aliuliza huyu anacheza wapi tena kipindi karudi sentahafu alipigwa vikoi na vidali kama vyoteeeView attachment 2845869
Uzi bila picha haunogi.!
Hivi Kizota alimuona kweli? Tuulize sisi tulio muona pale shamba la bibiUkiambiwa bangi zinakudhuru ndio uwe unaelewa.
Ni matusi makubwa kumfananisha Said Mwamba Kizota na mchezaji asiyekuwa na kipaji kama Kibu Denis.
Halafu ulivyo boya kuna kipa gani duniani asiyefungwa mpaka umpe bahasha?
Kipaji cha Mwameja tayari kilishafanyiwa replacement na Juma Kaseja, Kwa sababu hujui Mpira huwezi kuelewa Kaseja amefanya nini Simba.
Naona bado una tiririka tu ,hahahahahaha, nikikumbuka huo uzi na nyuzi zingine, aisee kazi ipoUpo sahihi
Kwani uongo? Mazingira tu ndio yalikuwa mabovu. Lakini kamwe huwezi kufananisha vipanji vya enzi hizo na siku hizi.Watu wa zamani mnajionaga ni kama enzi zenu ndo mlifanya kila kitu kwa ustadi sana.
Nyie challenge mmechukua lini?Kumbe wao ndio walioitwa vichwq vya mwendawazimu , utasikia majina makubwa wkt hata Challenge Cup tu iliwashindq
Ni kweli Kizota alikuwa mchezaji wa kipekee kwa uwezo na aliyekuwa na uwezo wa kucheza nyingi, kuanzia ushambuliaji hadi beki. Shida yangu ni kumlinganisha na Kibu, Kibu ni size za akina Thabit Bushako, hata kwa Abdi Kassim anapelea.Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania.
Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania ambae ndio bora kabisa kuliko wachezaji wote basi kwa haraka sana nitamtaja Said Mwamba Nassoro Kizota. Hayo si maneno yangu. Ni maneno ya Mahamoud Zubeir ( Bin Zubeir) wa Azam Tv. Kwangu huyu ni expert number moja wa mpira wa Tanzania.
Maneno ya Bin Zubeir yanaungwa mkono na Haji Manara a.k.a Shareef El Buggati a.k.a Shareef Matrophy. Maneno haya aliyataja wakati huo akiwa msemaji wa Simba.
Asilimia kubwa ya Wapenzi wa mpira wa Tanzania wanaofuatilia mpira wa Tanzania kuanzia miaka ya sabini watathibitisha kauli hii kuhusu Said Mwamba.
Said Mwamba aliyajibu kwa ufasaha maswali yote ambayo mpira wa miguu ulimuuliza. Ndio maana aliitwa Kizota.
Mwameja Mohamed Mwameja ni nani? Ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya mpira wa miguu wa Tanzania. Kwa kizazi chake na kizazi kilicho fuatia baada yake hakujawahi kutokea kipa mwenye kufanana nae.
Mwamba huyu ambae anatajwa kuwa na mapenzi makubwa sana na klabu ya Yanga tangu utoto wake (ingawa hakuwahi kuichezea/mwaka 93 alisaini Yanga ukatokea mgogoro hadi Rais Mwingi akaingilia kati) aliyezaliwq pale Mwakidila Tanga kutoka Mzee Mohamed Mwameja (Mnazi wa Yanga) alikuwa hafungiki.
Ili kumfunga Mwameja (anasema mdau mmoja wa Soka la bongo) ilibidi Abbas Gulamali atoe bahasha ndio kina Lunyamila watikise nyavu za Simba.
1. I see a lot of Said Mwamba in Kibu Dennis. It is as if Said Mwamba has come back to life as Kibu Dennis.
2. I look at Jiji Ziara ( Djugui Diarra) and see how Mwameja used to be on pitch.
Kibu mlinganishe na YikpeNi kweli Kizota alikuwa mchezaji wa kipekee kwa uwezo na aliyekuwa na uwezo wa kucheza nyingi, kuanzia ushambuliaji hadi beki. Shida yangu ni kumlinganisha na Kibu, Kibu ni size za akina Thabit Bushako, hata kwa Abdi Kassim anapelea.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hujui lolote, hapa wanaongelewa wachezaji Bora wa muda wote.Kumbe wao ndio walioitwa vichwq vya mwendawazimu , utasikia majina makubwa wkt hata Challenge Cup tu iliwashindq
Has made a come backDah! Unasikitisha sana.... hakika wewe ni mmoja wa wale, ambao Ndg, Rage alikuwa akiwazungumzia umbumbumbuni Fc
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Hawa hata kombe la.chalenji limewasinda kwenye vilabu ndo yale yale#hahahaha sifa za humu humu ndani tuHujui lolote, hapa wanaongelewa wachezaji Bora wa muda wote.
Hamis Tobias Gaga Gagarino, Said Mwamba Kizota, Edibily Lunyamila Kwa uchache hawa ni wachezaji ambao mpaka sasa hawana mbadala, Mohammed Hussein Mmachinga ndio anashikiria rekodi ya ufungaji bora lakini haingii kwenye orodha hiyo ni wa kawaida Tu kama kina John Boko.
Naenda Marekani au kidunia Kwenye hip-hop kuna Tupac Shakur na kwenye Pop kuna Michael Jackson hawa wote ni marehemu na mpaka Leo hakuna mbadala wake, kwahiyo Acha kupayuka Kwa Vitu msivyovijuwa.
Unamkosea heshima Said Mwamba aisee, yaani unamfananishaje na mtu kontroo chumba na sebule? Huyo Kizota alikuwa fundi haswaa bwana.Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania.