Said Mwamba Kizota has come back to life as Kibu Dennis and Mohamed Mwameja has come back to the pitch as Djigui Diarra

Ukiambiwa bangi zinakudhuru ndio uwe unaelewa.

Ni matusi makubwa kumfananisha Said Mwamba Kizota na mchezaji asiyekuwa na kipaji kama Kibu Denis.

Halafu ulivyo boya kuna kipa gani duniani asiyefungwa mpaka umpe bahasha?

Kipaji cha Mwameja tayari kilishafanyiwa replacement na Juma Kaseja, Kwa sababu hujui Mpira huwezi kuelewa Kaseja amefanya nini Simba.
Hivi Kizota alimuona kweli? Tuulize sisi tulio muona pale shamba la bibi
Km hajui kitu aulize au akae kimyaa
 
Watu wa zamani mnajionaga ni kama enzi zenu ndo mlifanya kila kitu kwa ustadi sana.
Kwani uongo? Mazingira tu ndio yalikuwa mabovu. Lakini kamwe huwezi kufananisha vipanji vya enzi hizo na siku hizi.
 
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania.

Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania ambae ndio bora kabisa kuliko wachezaji wote basi kwa haraka sana nitamtaja Said Mwamba Nassoro Kizota. Hayo si maneno yangu. Ni maneno ya Mahamoud Zubeir ( Bin Zubeir) wa Azam Tv. Kwangu huyu ni expert number moja wa mpira wa Tanzania.

Maneno ya Bin Zubeir yanaungwa mkono na Haji Manara a.k.a Shareef El Buggati a.k.a Shareef Matrophy. Maneno haya aliyataja wakati huo akiwa msemaji wa Simba.

Asilimia kubwa ya Wapenzi wa mpira wa Tanzania wanaofuatilia mpira wa Tanzania kuanzia miaka ya sabini watathibitisha kauli hii kuhusu Said Mwamba.

Said Mwamba aliyajibu kwa ufasaha maswali yote ambayo mpira wa miguu ulimuuliza. Ndio maana aliitwa Kizota.

Mwameja Mohamed Mwameja ni nani? Ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya mpira wa miguu wa Tanzania. Kwa kizazi chake na kizazi kilicho fuatia baada yake hakujawahi kutokea kipa mwenye kufanana nae.

Mwamba huyu ambae anatajwa kuwa na mapenzi makubwa sana na klabu ya Yanga tangu utoto wake (ingawa hakuwahi kuichezea/mwaka 93 alisaini Yanga ukatokea mgogoro hadi Rais Mwingi akaingilia kati) aliyezaliwq pale Mwakidila Tanga kutoka Mzee Mohamed Mwameja (Mnazi wa Yanga) alikuwa hafungiki.

Ili kumfunga Mwameja (anasema mdau mmoja wa Soka la bongo) ilibidi Abbas Gulamali atoe bahasha ndio kina Lunyamila watikise nyavu za Simba.

1. I see a lot of Said Mwamba in Kibu Dennis. It is as if Said Mwamba has come back to life as Kibu Dennis.

2. I look at Jiji Ziara ( Djugui Diarra) and see how Mwameja used to be on pitch.
Ni kweli Kizota alikuwa mchezaji wa kipekee kwa uwezo na aliyekuwa na uwezo wa kucheza nyingi, kuanzia ushambuliaji hadi beki. Shida yangu ni kumlinganisha na Kibu, Kibu ni size za akina Thabit Bushako, hata kwa Abdi Kassim anapelea.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kibu mlinganishe na Yikpe
 
Kumbe wao ndio walioitwa vichwq vya mwendawazimu , utasikia majina makubwa wkt hata Challenge Cup tu iliwashindq
Hujui lolote, hapa wanaongelewa wachezaji Bora wa muda wote.

Hamis Tobias Gaga Gagarino, Said Mwamba Kizota, Edibily Lunyamila Kwa uchache hawa ni wachezaji ambao mpaka sasa hawana mbadala, Mohammed Hussein Mmachinga ndio anashikiria rekodi ya ufungaji bora lakini haingii kwenye orodha hiyo ni wa kawaida Tu kama kina John Boko.

Naenda Marekani au kidunia Kwenye hip-hop kuna Tupac Shakur na kwenye Pop kuna Michael Jackson hawa wote ni marehemu na mpaka Leo hakuna mbadala wake, kwahiyo Acha kupayuka Kwa Vitu msivyovijuwa.
 
Hawa hata kombe la.chalenji limewasinda kwenye vilabu ndo yale yale#hahahaha sifa za humu humu ndani tu
 
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania.

Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania ambae ndio bora kabisa kuliko wachezaji wote basi kwa haraka sana nitamtaja Said Mwamba Nassoro Kizota. Hayo si maneno yangu. Ni maneno ya Mahamoud Zubeir ( Bin Zubeir) wa Azam Tv. Kwangu huyu ni expert number moja wa mpira wa Tanzania.

Maneno ya Bin Zubeir yanaungwa mkono na Haji Manara a.k.a Shareef El Buggati a.k.a Shareef Matrophy. Maneno haya aliyataja wakati huo akiwa msemaji wa Simba.

Asilimia kubwa ya Wapenzi wa mpira wa Tanzania wanaofuatilia mpira wa Tanzania kuanzia miaka ya sabini watathibitisha kauli hii kuhusu Said Mwamba.

Said Mwamba aliyajibu kwa ufasaha maswali yote ambayo mpira wa miguu ulimuuliza. Ndio maana aliitwa Kizota.

Mwameja Mohamed Mwameja ni nani? Ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya mpira wa miguu wa Tanzania. Kwa kizazi chake na kizazi kilicho fuatia baada yake hakujawahi kutokea kipa mwenye kufanana nae.

Mwamba huyu ambae anatajwa kuwa na mapenzi makubwa sana na klabu ya Yanga tangu utoto wake (ingawa hakuwahi kuichezea/mwaka 93 alisaini Yanga ukatokea mgogoro hadi Rais Mwingi akaingilia kati) aliyezaliwq pale Mwakidila Tanga kutoka Mzee Mohamed Mwameja (Mnazi wa Yanga) alikuwa hafungiki.

Ili kumfunga Mwameja (anasema mdau mmoja wa Soka la bongo) ilibidi Abbas Gulamali atoe bahasha ndio kina Lunyamila watikise nyavu za Simba.

1. I see a lot of Said Mwamba in Kibu Dennis. It is as if Said Mwamba has come back to life as Kibu Dennis.

2. I look at Jiji Ziara ( Djugui Diarra) and see how Mwameja used to be on pitch.
Unamkosea heshima Said Mwamba aisee, yaani unamfananishaje na mtu kontroo chumba na sebule? Huyo Kizota alikuwa fundi haswaa bwana.
 
Back
Top Bottom