PRAXEDA RWEYENDELA [MAUA CHENKULA]. Mama huyu namkubali sana.naunga mkono hoja.....yuko vema sana huyu mama saida karoli.
bukoba inaonekana ni waimbaji wazuri. nakumbuka kuna dada mwingine, anaitwa maua kama sikosei, alitoa kibao kimoja hivi kinaitwa 'akatambala'. aisee kibao kilinikamata, kinanikamata na kitaendelea kunikamata.....naupenda mno ule wimbo, mnooo. nakumbuka wakati kinatoka nilikuwa o'level, yaani nilikuwa mpaka nasimama njiani kukisikiliza kama nikikisikia. sijui yuko wapi yule dada?!!
yeah, ni huyo. bado anaimba?PRAXEDA RWEYENDELA [MAUA CHENKULA]. Mama huyu namkubali sana.
Nakubaliana na weweWimbo wa kaisiki ulikuwa mtam sana
SUKAH
Tuko naye huku bk, kajichokea ile mbayanaunga mkono hoja.....yuko vema sana huyu mama saida karoli.
bukoba inaonekana ni waimbaji wazuri. nakumbuka kuna dada mwingine, anaitwa maua kama sikosei, alitoa kibao kimoja hivi kinaitwa 'akatambala'. aisee kibao kilinikamata, kinanikamata na kitaendelea kunikamata.....naupenda mno ule wimbo, mnooo. nakumbuka wakati kinatoka nilikuwa o'level, yaani nilikuwa mpaka nasimama njiani kukisikiliza kama nikikisikia. sijui yuko wapi yule dada?!!
Kwa heshima na taadhima naungana na wewe. Saida ni mtunzi mzuri sana wa nyimbo za mahadhi ya kiasili, ana vocals kali sana na anaweza sana kucheza. SHida alikutana na menejimenti ambazo zilimliza sana kwenye mikataba. She is a wonderful musician kwa kweli. Wanaotaka msambwanda kwa buku jero hawatakuelewa. 🤣 🤣 🤣 🤣Huyu ni mwanamama shupa vutoka BUKOBA INTERNATIONAL CITY aliyetikisa dunia kwa nyimbo na miondoko yake adimu. Ametuletea heshima kubwa kama taifa. Tafadhali, Universities mtunukuni Honorary Doctorate kuthamini mchango wake.