Saida Karoli anastahili Honorary Doctorate

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Huyu ni mwanamama shupa vutoka BUKOBA INTERNATIONAL CITY aliyetikisa dunia kwa nyimbo na miondoko yake adimu. Ametuletea heshima kubwa kama taifa. Tafadhali, Universities mtunukuni Honorary Doctorate kuthamini mchango wake.
 
Nakumbuka enzi hizo home tukikua na ile mikate yenye nyumbo zake. Huyu maza anajua sana ni vile bongo haithamini wasanii. Ila Saida ni Lulu ya taifa tena aliimba kihaya tupu na akawa maarufu sana, angetumika vyema labda utamaduni wetu ungefahamika zaidi.
 
naunga mkono hoja.....yuko vema sana huyu mama saida karoli.

bukoba inaonekana ni waimbaji wazuri. nakumbuka kuna dada mwingine, anaitwa maua kama sikosei, alitoa kibao kimoja hivi kinaitwa 'akatambala'. aisee kibao kilinikamata, kinanikamata na kitaendelea kunikamata.....naupenda mno ule wimbo, mnooo. nakumbuka wakati kinatoka nilikuwa o'level, yaani nilikuwa mpaka nasimama njiani kukisikiliza kama nikikisikia. sijui yuko wapi yule dada?!!
 
PRAXEDA RWEYENDELA [MAUA CHENKULA]. Mama huyu namkubali sana.
 
naunga mkono hoja.....yuko vema sana huyu mama saida karoli.

bukoba inaonekana ni waimbaji wazuri. nakumbuka kuna dada mwingine, anaitwa maua kama sikosei, alitoa kibao kimoja hivi kinaitwa 'akatambala'. aisee kibao kilinikamata, kinanikamata na kitaendelea kunikamata.....naupenda mno ule wimbo, mnooo. nakumbuka wakati kinatoka nilikuwa o'level, yaani nilikuwa mpaka nasimama njiani kukisikiliza kama nikikisikia. sijui yuko wapi yule dada?!!
Tuko naye huku bk, kajichokea ile mbaya
 
Huyu ni mwanamama shupa vutoka BUKOBA INTERNATIONAL CITY aliyetikisa dunia kwa nyimbo na miondoko yake adimu. Ametuletea heshima kubwa kama taifa. Tafadhali, Universities mtunukuni Honorary Doctorate kuthamini mchango wake.
Kwa heshima na taadhima naungana na wewe. Saida ni mtunzi mzuri sana wa nyimbo za mahadhi ya kiasili, ana vocals kali sana na anaweza sana kucheza. SHida alikutana na menejimenti ambazo zilimliza sana kwenye mikataba. She is a wonderful musician kwa kweli. Wanaotaka msambwanda kwa buku jero hawatakuelewa. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom