Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Boss sidhan kama ni kiki, yani uahirishe show zenye hela kwa kiki? Labda kama aliemuambia afanye hivyo atamlipa zaidi ya hela ambazo angepata kwenye hizo showHAHAHAHAHA achana na kiki Mama..mziki wako ni mzuri walio kushauri mambo ya kiki sikunyingine wakatalie...
Una akili kuliko za uliyemjibu!Boss sidhan kama ni kiki, yani uahirishe show zenye hela kwa kiki? Labda kama aliemuambia afanye hivyo atamlipa zaidi ya hela ambazo angepata kwenye hizo show
What goes around always comes around
Unapigwa sana hasa kwenye tv ukitazama tve hawakosi kuupiga kwa siku mara kadhaa, hata eatv hata itv the base wataupiga.huyo anayemtishia na yeye ni mwehu...kwa huo wimbo mmoja ambao unapigwa clouds tu!!!
labda kama kuna lingine....lakini kwenye mziki hajarudi chochote!!