data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Hahahhahaa....huyu mama atajivunjia heshima sasa hivi....Labda wanaomtishia maisha wamemuonea wivu kile kiingereza chake cha BABY GIVE TO ME
Afanye kazi aache ubashite.
Hivi haoni wenzake ngoma zinavyobuma.
Mama acha hizooo....