Saida Karoli apigiwa simu ya kutishiwa maisha

Saida Karoli apigiwa simu ya kutishiwa maisha

Labda wanaomtishia maisha wamemuonea wivu kile kiingereza chake cha BABY GIVE TO ME
Hahahhahaa....huyu mama atajivunjia heshima sasa hivi....

Afanye kazi aache ubashite.

Hivi haoni wenzake ngoma zinavyobuma.

Mama acha hizooo....
 
Wimbo wenyewe wa kawaida sana,kiukweli sijaona jipya lolote zaidi ya kulazimishiwa airtime......no offence
 
Back
Top Bottom