Saida Karoli apigiwa simu ya kutishiwa maisha

Saida Karoli apigiwa simu ya kutishiwa maisha

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Mwimbaji staa wa nyimbo za asili Saida Karoli ambaye amerejea katika ulimwengu wa muziki baada ya kupotea kwa kipindi kirefu lakini kurejea kwake kumepokelewa kwa namna tofauti baada ya kukiri kupigiwa simu ya kutishiwa kifo.

Ilimshtua hata yeye, hakutegemea kupigiwa simu na kutishiwa maisha tena kwa kuambiwa kila kitu kitachomkuta LIVE ikiwemo ishu ya ushirikina ilivyoshamiri…kwenye hii video Saida Karoli amefunguka mwanzo mwisho lakini imebidi aahirishe show zake zote zijazo.




Chanzo: millardAyo
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Miaka 15 alikuwa "down", ajitahidi kujinyanyua sasa
 
Legendari kama yeye angepotezea tu baada ya kupiga kelele kwenye mitandao.
 
Halafu mnataka Africa iendelee; Haiwezi kuendelea kwa huu upumbafu wa kurudishana nyuma kimaendeleo... Ukisha muuwa whats next???


Yaaani kuna matumbo ya wamama wengine yalibeba viumbe vya ajabu sana.....


Poleni sana wanawake wote duniani....
 
Maskini huyo anayetaka kumuua Saidi mtu mwenyewe hana makuu na mtu anapambana na hali yake maskini hata akifanyiwa interview unaona kabisa Saida hana makuu na ujuaji yani yuko level ya kawaida sa unampa stress za nini
 
huyo anayemtishia na yeye ni mwehu...kwa huo wimbo mmoja ambao unapigwa clouds tu!!!

labda kama kuna lingine....lakini kwenye mziki hajarudi chochote!!
 
huyo anayemtishia na yeye ni mwehu...kwa huo wimbo mmoja ambao unapigwa clouds tu!!!

labda kama kuna lingine....lakini kwenye mziki hajarudi chochote!!
Unapigwa sana hasa kwenye tv ukitazama tve hawakosi kuupiga kwa siku mara kadhaa, hata eatv hata itv the base wataupiga.
Kwa kiasi flani karudi kiaiana
 
Back
Top Bottom