Acha kukurupuka kijana, diamond alisema wazi hajaonana na saida kaloli, ila walikutana na manager wa saida ambae ndio mwenye hati miliki ya wimbo wakamalizina .Sallam kama kawaida yake kampiga Saida Chenga ya mwili.
Diamond alitamba siku ile kuwa kuna hela wamempa Saida alafu Saida kaja kutoa siri kumbe aliwapa wimbo bure wao wakaenda kumpa hela meneja.
Kama kawaida yao kuongeza sifuri wapate kiki bado meneja kutoa siri kuwa nae akupewa chochote ulikuwa ujanja ujanja tu
Haki ni yake pamoja na meneja aliyemlipa producer.Ameshindwa hata kujua kuwa wimbo unabaki kuwa mali ya muandaaji (Producer) ndiyo maana akaombwa consent yake tu and that was it. Elimu Elimu Elimu.
Vipi mkuu,ulishapataga majibu kuhusu ile mada yako ......??Huyu mama bado wanaendelea kumzurumu tu?
nah, anamzungumzia aliyekuwa meneja wake, yeye saida anasema alimpa diamond wimbo bure kabisa, ila aliyekuwa meneja wake kipindi hicho akachukua milioni 25 kutoka kwa diamondAmeshindwa hata kujua kuwa wimbo unabaki kuwa mali ya muandaaji (Producer) ndiyo maana akaombwa consent yake tu and that was it. Elimu Elimu Elimu.
Inasikitisha sana.Hivi hakuna Wahaya wanasheria wamsaidie huyu Dada Kweli? Au wanachojua ni kujisifia na kutoa orodha dhefu ya wasomi walioko UN basi.
Acha kukurupuka kijana, diamond alisema wazi hajaonana na saida kaloli, ila walikutana na manager wa saida ambae ndio mwenye hati miliki ya wimbo wakamalizina .
Shule ulienda kusindikiza wenzio?
Huyo meneja aitwa Felician Muta, namchukia sana huyo mzee tangu alivyomwingiza kingi na kumsainisha saida mikataba ya Mangungo huku akitumia fursa ya kutokujua kusoma wala kuandika kwa Saida hapo mwanzoni.Kweli meneja ana roho anaitwa nani huyo meneja zulmati tumuanike. Mi mwenyewe nilifurahi at least Saida kapata tupesa
kama nmekuelewa vile 😀😀😱Bukoba kuna tatizo gani mbn watu wanazulumiwa sana dah!!!
Kwani kasema Bukoba ama kataja "wasanii" na "Tanzania"?Bukoba kuna tatizo gani mbn watu wanazulumiwa sana dah!!!
Alikuambia kuingiza sauti mpaka mue pamoja studio na nani?“Kitu tulichokifanya kabla ya kurelease wimbo,tulizungumza na uongozi wake,tukawaambia tunafanya hiki na hiki na kuna kiasi pia tukakitoa ili kiende kwake halafu tukampa 25% ya publishing.Kila income ya publishing ikiwa inaingia katika huu wimbo,mama atakuwa anapata percent,”
Hayo yalikuwa maneno ya Diamond mwenyewe waliongea na uongozi wake alafu alafu kuna kiasi walikitoa kwenda kwake.Alafu wakampa 25% na kila senti itakayoingia mama atakuwa anapata senti...
sasa Kati yangu mimi na wewe sijui nani kakurupuka hapo.we unasema hawakuonana wakati Saida anasema alikuwepo studio na aliingiza sauti yake kwenye chorus ya ule wimbo...
Saida anasema alitoa wimbo bure akuchukua hata senti baba ako Diamond anasema walimpa hela Saida na sio Meneja wa Saida.
Muda mwingine weka mapenzi kando kwenye hili swala kuna ujanja mwingi na kuongeza sifuri ila Saida kaamua kusema basi tutasikia mengi mno round hii.
Huu mchezo hauhitaji hasira.Mie napenda sana nyimbo zako ila unatuweka diro unaunacho kitoa kisha unaongea pumba kama una jeori basi nenda kaimbe nyimbo ili na wewe ushamiri upya toa utumbo wako hapa.