brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Acha kukurupuka kijana, diamond alisema wazi hajaonana na saida kaloli, ila walikutana na manager wa saida ambae ndio mwenye hati miliki ya wimbo wakamalizina .Sallam kama kawaida yake kampiga Saida Chenga ya mwili.
Diamond alitamba siku ile kuwa kuna hela wamempa Saida alafu Saida kaja kutoa siri kumbe aliwapa wimbo bure wao wakaenda kumpa hela meneja.
Kama kawaida yao kuongeza sifuri wapate kiki bado meneja kutoa siri kuwa nae akupewa chochote ulikuwa ujanja ujanja tu
Shule ulienda kusindikiza wenzio?