NTEGEYE Jr
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 322
- 286
Ni bora utembee uchi lakini watoto wasomeElimu ni jambo la msingi sana
We kweli hujawahi kukutana na watu waliosoma mpaka chuo na kiingereza hakuna kitu?!Mbona Ali kiba alitudanganya kasoma mpaka chuo alafu kingereza hajui, uwongo ni sehemu moja wapo ya kunogesha story
Mbaya zaidi anaona Diamond katapeliwa wakati kama ni kutapeliwa, basi ni yeye ndo katapeliwa!Atoe bure wimbo kwani mali yake??
felician mutaKweli meneja ana roho anaitwa nani huyo meneja zulmati tumuanike. Mi mwenyewe nilifurahi at least Saida kapata tupesa
Kuna kitu umeekewa lakini sio macho, macho hayawezi kukufanyia hivo.Saida kila siku bado ni msichana! Hazeeki, na sauti yake bado ileile. Hivi ndivyo vipaji
Na ww wapi domo kasema alimpa saida hizo hela co yy alisema ameulipa uongoz wa saida afu ww unbadilisha unadai alimpa saida sasa tuambie wapi alisema amempa saida izo helaWapi niliposema kuwa walionana na Saida?
soma haya maneno kwa Makini...Na ww wapi domo kasema alimpa saida hizo hela co yy alisema ameulipa uongoz wa saida afu ww unbadilisha unadai alimpa saida sasa tuambie wapi alisema amempa saida izo hela
Kila msanii asa iv lazma atafute kiki ndo wimbo wake upate attention ila kwa kuwa ni hater utaliona hili kwa wcb tu wakati kila msanii na kiki zakeTatizo WCB kuna huwa kuna kick za ajabu ajabu mno. Ukute hakukuwa na agreement yoyote yenye kuhusisha mkwanja ila basi tu.
Mbona wengi tu wamehitimu chuo hawajui lugha ya Malkia?Mbona Ali kiba alitudanganya kasoma mpaka chuo alafu kingereza hajui, uwongo ni sehemu moja wapo ya kunogesha story