Saida Karoli: Meneja wangu amemtapeli Diamond mamilioni, mi nilimpa wimbo bure

Saida Karoli: Meneja wangu amemtapeli Diamond mamilioni, mi nilimpa wimbo bure

Huyu manager tangu siku nying anamtumia vibya huyu dada ,nadhan anajitajirisha kwa kutumia kukosa elimu kwa kaloli
 
Mbona Ali kiba alitudanganya kasoma mpaka chuo alafu kingereza hajui, uwongo ni sehemu moja wapo ya kunogesha story
We kweli hujawahi kukutana na watu waliosoma mpaka chuo na kiingereza hakuna kitu?!
 
Saida Karoli kwa hakika anapaswa kusaidiwa! Yaani anaona Diamond ndo katapeliwa wakati aliyetapeliwa ni yeye!! Very sorry for her....
 
Na ww wapi domo kasema alimpa saida hizo hela co yy alisema ameulipa uongoz wa saida afu ww unbadilisha unadai alimpa saida sasa tuambie wapi alisema amempa saida izo hela
soma haya maneno kwa Makini...

“Kitu tulichokifanya kabla ya kurelease wimbo, tulizungumza na uongozi wake,tukawaambia tunafanya hiki na hiki na kuna kiasi pia tukakitoa ili kiende kwake halafu tukampa 25% ya publishing.Kila income ya publishing ikiwa inaingia katika huu wimbo, mama atakuwa anapata percent,” Alisema Diamond

Hapo kwenye mama atakuwa anapata percent atapataje percent wakati Saida alimpa wimbo bure atumie?!
Kwanini Diamond na uongozi wake walitudanganya?

Hapo "tulizungumza na uongozi wake na kuna kiasi tukakitoa kiende kwake" kwake nani?!
Ukiweka akili yake sawa hapo jibu ni Saida maana walizungumza na uongozi wake alafu kuna kiasi wakampa Saida na wakampa 25% ya publishing hapo walimpa Saida na Sio Uongozi wa saida kwa mujibu wa maelezo ya Nasibu mwenyewe.
 
Tatizo WCB kuna huwa kuna kick za ajabu ajabu mno. Ukute hakukuwa na agreement yoyote yenye kuhusisha mkwanja ila basi tu.
 
Tatizo WCB kuna huwa kuna kick za ajabu ajabu mno. Ukute hakukuwa na agreement yoyote yenye kuhusisha mkwanja ila basi tu.
Kila msanii asa iv lazma atafute kiki ndo wimbo wake upate attention ila kwa kuwa ni hater utaliona hili kwa wcb tu wakati kila msanii na kiki zake
 
Back
Top Bottom