Saida Karoli: Meneja wangu amemtapeli Diamond mamilioni, mi nilimpa wimbo bure

Huyu mama bado wanaendelea kumzurumu tu?
Eti jamani. Inawezekana kwa kuwa mkataba Ulikuwa wa huyo Sijui Mutasomething basi ndiye aliyepewa hizo hela masikini Saida anaona diamond amedhulumiwa. Diamaond nina hakika unapitia hapa. Mpe said Equal amount of money uliyompa huyo meneja feki! Kwa ni unajua kabisa Mtunzi ni nanai! Nawe unaingia katika dhambi ya kumdhulumu huyu mama? KHRC wako kimya tu hawamtetei huyu mama!
 
Saida Karoli kwa hakika anapaswa kusaidiwa! Yaani anaona Diamond ndo katapeliwa wakati aliyetapeliwa ni yeye!! Very sorry for her....
Yaani hii comment imenitia huruma sana, bora nisinunue vitenge vipya miaka 10 nipeleke wanangu shule.
Btw hivi gharama zakuvunja mkataba kama wa saida na FM zinaweza kuwaje? Hebu lawyers wa humu watusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…