Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saida jamani hata haeleweki sijui ni elimu
Eti jamani. Inawezekana kwa kuwa mkataba Ulikuwa wa huyo Sijui Mutasomething basi ndiye aliyepewa hizo hela masikini Saida anaona diamond amedhulumiwa. Diamaond nina hakika unapitia hapa. Mpe said Equal amount of money uliyompa huyo meneja feki! Kwa ni unajua kabisa Mtunzi ni nanai! Nawe unaingia katika dhambi ya kumdhulumu huyu mama? KHRC wako kimya tu hawamtetei huyu mama!Huyu mama bado wanaendelea kumzurumu tu?
Hebu wanasheria wale siojui wa haki za kina mama hebu wamsaidie jamani huyu dada!Kwenye deal zake kwa nini awashirikishi wana sheria, hata wa kujitolea.
Yaani hii comment imenitia huruma sana, bora nisinunue vitenge vipya miaka 10 nipeleke wanangu shule.Saida Karoli kwa hakika anapaswa kusaidiwa! Yaani anaona Diamond ndo katapeliwa wakati aliyetapeliwa ni yeye!! Very sorry for her....