Saida Karoli: Waliorudia wimbo wa Chambua kama karanga hawajanipa chochote

Kwa nguvu ya Clouds Fm Saida Karol atang'aa.hivi sasa wanafanya promo ya shoo itakayofanyika kuadhimisha miaka 15 kwenye mziki.nani asiyejua nguvu ya mawingu FM?. Shoo zinaanza kumwangukia Saida.
Mawingu hata wafanyaje, huyu bibi taa zimeshamzimia hawezi rud tena usitishwe na huo upepo wa wiki hizi mbili
 
Muda si mrefu wanga wataanza kumuwaingia huyu mama...

Kuna watu shetani afadhali...
 
Mama karejea kwa Kishindo... Mpeni support.
 
Lakini nilisikia kuwa alikubaliana na Diamond kuwa aurudie wimbo wake.
 
Kwa nguvu ya Clouds Fm Saida Karol atang'aa.hivi sasa wanafanya promo ya shoo itakayofanyika kuadhimisha miaka 15 kwenye mziki.nani asiyejua nguvu ya mawingu FM?. Shoo zinaanza kumwangukia Saida.

Atang'aa kwa wahaya wenzake labda but hana kipya..kijana gani wa kisasa atakaa kusikiliza ngoma za saida alizoachia kipindi hiki!?Wakati wake ulishapita,muziki wa sasa unahitaji ubunifu wa hali ya juu ili usikike...Zama zingine hizi wasanii wenye uwezo kila kona.Sio za nyimbo za Saida.
 
Huyu naye tumemchoka.. Akizaa akimaliza kunyonyesha tu anaanza kelele
 
Hata mie nimeshangaa uwezo wa huyu mama kujibu maswali, ushauri asifukue makaburi Muta hakuwa mzuri kwake aanze na moja uwezo na kwa msaada wa watu wazuri anaweza.
 
Kwa nguvu ya Clouds Fm Saida Karol atang'aa.hivi sasa wanafanya promo ya shoo itakayofanyika kuadhimisha miaka 15 kwenye mziki.nani asiyejua nguvu ya mawingu FM?. Shoo zinaanza kumwangukia Saida.
Pia wanamuandaa kwa ajili ya fiesta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…