Na yeye alisema kwenye interview kuwa Muta alimtafuta akamwambia Diamond anataka kutumia kazi yke. .
Muta ndio mmiliki wa kazi za Saida kwa hiyo alichofanya ni kumtaarifu na Saida akabless ila Muta hakumuambia kuhusu malipo yeyote na wala hakumpa Diamond chance kuongea na Saida directly. .
Kufika mjini ndio anakuja sikia habari kuwa kulikuwa na malipo. . Sema alipuuza coz yeye alikubali bila kuhitaji chochote in return. .
She is very wise. . Angekuwa na elimu huyu mama angekuwa mbali. . Watangazaji walikuwa wanajaribu kumchokonoa aseme Muta alimzingua but she kept answering their questions very technically and loved every bit of it. .