Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Hamna jamii mbaya ambayo inakuwa inspired na watu wa ajabu mafisadi,wauza unga,wala rushwa nk.Ndicho kinacho tokea Mexico, vijana wanawaona wakina El Chapo ni mashujaa, kama wamuonavyo Lugumi kumbe nae ufisadi ndio ulio mpa hela na ndio jamii tunayo itengeneza, siku hizi mpaka machawa nao wana wainspire vijana.
 
Watu wanaopsta pesa kwa nguvu zao, bila mbanga, ni wacache sana, mtu kama Eron musk, sasa huyu mwamba, ye ye kapata ukwasi kupitia kuoa binti wa mkubwa, bila hivyo ange kuwa kenge tu magamba
Alifanya ufisadi mkubwa kwenye tenda ya polisi!
 
EL NDIO NANI
Hamna jamii mbaya ambayo inakuwa inspired na watu wa ajabu mafisadi,wauza unga,wala rushwa nk.Ndicho kinacho tokea Mexico, vijana wanawaona wakina El Chapo ni mashujaa, kama wamuonavyo Lugumi kumbe nae ufisadi ndio ulio mpa hela.
 
Watu wanaopsta pesa kwa nguvu zao, bila mbanga, ni wacache sana, mtu kama Eron musk, sasa huyu mwamba, ye ye kapata ukwasi kupitia kuoa binti wa mkubwa, bila hivyo ange kuwa kenge tu magamba
Said Mwema anamfikia Lugumi hela na maisha.
Hiyo ilikuwa njia tu ya yeye kujitafuta wangapi wameoa wake za viongozi ila hawana mafanikio hayo
 
Back
Top Bottom