Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Dada wahi pm namba ya uncle LS ninayo na natamba nayo 😹😹😹

Yani huyo pesa kwake sio tatizo na sio pesa tu, jamaa ni bonge la mtu na nusu (master mind) lina nondo za kupiga mkwanja mpk sio pouwa… dada namba umepataaaaa 🤸‍♀️🤸‍♀️
Ari riiii riiiii riiiiiiiii
Ndio maana nakuaminia dogo,nilijua tu huwezi kosa nakuja nakuja mbio😄
 
Huna pesa we mzaramo 😹😹😹

Muache sister angu akapoe kwa uncle LS ambadilishie maisha aache kuswampa JF 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣yaani ukiwa na ankoli JF unaingia siku moja moja na huna muda wa kucoment unagonga like tu uko busy na anko,na kuhakikisha kama AC zinawaka vizuri kule yard magari yasije sikia joto yakapata stress
 
Yaani wangejua ana supply nini na wapi na wapi acha alimbuke....tuuu
Katikati ya maneno yako ni kama vile anajihusiha na Kharam.
vyovyote iwavyo haingii akilini kuwa anavunja Sheria.
Na kama hivyo ndivyo basi aendelee tu ili wenye akili tutie akili zaidi badala ya kusambaza ukakasi dhidi yake.
 
Hapana hapana hapana halali kabisa ila classified.......nadhani umeelewa....
 
Ta
Jinai haiozi. Lugumi ana scandal, alipata tenda ya kusupply fingerprint machine vituo vote vya polisi. Machine 18 tu ndo wakainstall na 8 hazifanyi kazi. CAG, Bunge na Takukuru wakachunguza, ila ishu ikaishia hewani. Bilioni 37 ndo ikawa imepigwa kirahisi tu hivyo.

Mkuu unajua vizuri GOVERNMENT PAYMENTS PROCEDURES,uyo hawezi guswa maana malipo ili yafanyike lazima yawe approved sehemu kibao kabla ya kufanyika ndo maana hawezi kumgusa iyo kesi ni Chain ya viongozi kibao ata presidents,Mhasibu mkuu WA serikali,mawaziri na viongozi kibao wamo umo na ndo maana izo kesi upotezewa shoboka upotezwe
 
Sisi ngozi nyeusi shids sana ukipata senti kidogo utataka mpaka sisimizi waju! Wenzetu wahindi wao wakipata wanawekeza kwenye vitu vya maana sisi unakimbilia vitu vya anasa ambavyo havizalishi ! maskini Lugumii !
Hivi huyo jamaa unamjua au unalopoka tu kama unaharisha?....Mtu aliyekuwa anavimbiana na serikali unakuja kumfananisha na kanjibah wa kariakoo?🤔 Kijana kuwa na heshima
 
Hivi huyo jamaa unamjua au unalopoka tu kama unaharisha?....Mtu aliyekuwa anavimbiana na serikali unakuja kumfananisha na kanjibah wa kariakoo?🤔 Kijana kuwa na heshima
Siyo anaivimbia Serikali sema ana mtu wa serikali anamlinda
 
Sisi ngozi nyeusi shids sana ukipata senti kidogo utataka mpaka sisimizi waju! Wenzetu wahindi wao wakipata wanawekeza kwenye vitu vya maana sisi unakimbilia vitu vya anasa ambavyo havizalishi ! maskini Lugumii !
Mhhh
 
View attachment 3135806

Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.

Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi.

Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
Technically alikua anamnyoosha yule dogo anae jifanya tajir alie hongwa 10 sijui na perfume. Akaishia "hata Mimi sijaanzia pabaya".
 
Motivations hizi..... kama una akili timamu unapata nguvu mpya ya kupambana.

Muda bado upo kama ww ni kijana.. hakuna kinachoshindikana..
Live your destination bravo sio kila unacho kiona kipo vile kama kinavyo onekana
 
Back
Top Bottom