Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

Nimefika Katika Office Za Mwanahalisi Hapa Mwananyamala Wanasema Kwamba Hawakuwahi Kuomba Msaada Wala Mchango Toka Kwa Mtu Kikundi Au Dini Yoyote Ile Na Wanashangaa Sana Wanasema Watakja Jf Wenyewe Kuongea Zaidi Kuhusu Jambo Hili Kwa Sasa Hawako Tayari Lakini Wameshangaa Sana Kwanini Wanachangiwa Wakati Hawakuwahi Kuomba Kufanyiwa Hivyo Na Mtu Au Kikundi Au Chama

Wewe ni takataka na unanuka takataka .Ondoa Umbeya wako na uchakubimbi.I knew you would come up with these crap nikaja MwanHalisi.I am right na nakujua kwa sura hujafika hapa .Wacha uongo yaani nilitaka ku prove hili .Umeongea na nani kati ya hawa watu 5 ambao tuko hapa ndani ?Umeongea naye wapi na saa ngapi ?
 
This is a good start. But JF members are not as dumb as some here wants us to believe. Nothing wrong with asking questions, KUBENEA et al knew what would come when they decided to write what they wrote without having any meaningful funds to support themselves.

As such, I can't see much hypocrisy in pointing out MWANAHALISI's shortcomings. Hypocrisy is the accusation of something of which one pretends to be immune: as far as I can see no one has pretended to such immunity.


Mwanahalisi will get my contribution just to get a piece of that thief Rostam. So hang yourself if you dont like it!

What has been criticised is MWANAHALISI's tendency to doom-mongering, hyperbole, to infantilise debate (where it permits one), to uninformed judgement, and to its own hypocrisy where it condemns one week what it has bigged up the previous one: running scare stories about "fisadi mkuu JK" in good times while asking for the same JK'S govt for mediacl assistance to India etc.

I find it strange that of the points you responded to from my original post , none of my actual criticisms were addressed: namely factual inaccuracy, recycled stories and so on. Instead you go off on one about freedom of expression, a right which no one, least of all me, has contested.

You had nothing real in your postings than rants! Dont wait for answers if all you have is rants!




I also find it bizarre that you assume that everyone commenting hereon JF is dumb as MWANAHALISI readers.In any case, a balanced consumer of news would read a variety of sources. You and some here mightcorrectly point out that MMWANAHALISI readers may well do so: but some sources are better than others (i.e. more accurate and factual, less opinionated and biased). I am not talking about the comment pieces but the basic, factual, news reporting itself. In this respect almost any broadsheet is better than almost any tabloid - using the yardstick of quantity and accuracy of information and minimal editorial bias.

You are the one who making such assumptions and likely acting as one!



The intrusion of overt bias into ordinary "factual" reporting in the MWANAHALISI and other tabloids is a disincentive to critical thought and finding out more from other sources (why bother when my newspaper has already told me what to think?), unless you happen to be inclined that way already, and/or already consult other, better sources, in which case why would you be reading a mid-market tabloid with little factual content MWANAHALISI?? For the horoscope, perhaps.

Mwanahalisi is beyond your comprehension so get a life!
 
Nimefika Katika Office Za Mwanahalisi Hapa Mwananyamala Wanasema Kwamba Hawakuwahi Kuomba Msaada Wala Mchango Toka Kwa Mtu Kikundi Au Dini Yoyote Ile Na Wanashangaa Sana Wanasema Watakja Jf Wenyewe Kuongea Zaidi Kuhusu Jambo Hili Kwa Sasa Hawako Tayari Lakini Wameshangaa Sana Kwanini Wanachangiwa Wakati Hawakuwahi Kuomba Kufanyiwa Hivyo Na Mtu Au Kikundi Au Chama




Wewe ni takataka na unanuka takataka .Ondoa Umbeya wako na uchakubimbi.I knew you would come up with these crap nikaja MwanHalisi.I am right na nakujua kwa sura hujafika hapa .Wacha uongo yaani nilitaka ku prove hili .Umeongea na nani kati ya hawa watu 5 ambao tuko hapa ndani ?Umeongea naye wapi na saa ngapi ?
 

You assume that because I accused MWANAHALISI of pushing its own editorial line as the expense of accuracy.You seem to equate criticism with pushing one's own personal preferences, and the attempt to force one's own orthodoxy on the object of criticism.

Neah,

You are the one who is doing just the same things you are throwing rants about!
 
sasa hivi ni vita baina ya Game theory na Mwafrika wa Kike au na sisi wenye masuala tunaweza kujibiwa?
 
Rule of law unayoisema hapa ni ipi? ya kusaini mkataba wa kifisadi wa richmond?


Unfortunately nothing has been proved

Mwanahalisi hawajaomba msaada bali memba wa JF wameamua kuwachangia. Wewe unaweza kupeleka mchango wako kwa mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata rostam azizi ili kujenga hiyo "rule of law"



Sorry to disappoint you, I wont be part of this charade
 
sio habari ya kulipenda au kutolipenda.
watu wanapenda kufanya kitu for a cause......
na nafikiri watu wengi wangependa kufahamishwa as to why wachange.
na sio mtu akiuliza kwa nini achange anaambiwa kaa hulipendi usichange

SIo lazima wewe uchangie mkuu!
 
Lunyungu samahani mkuu hebu naomba utusaidie na hii hoja kidogo.
tuchangie nini kwa mwanahalisi? mawazo? pesa? kuwa nao pamoja ...au?
na kama pesa ni pesa ya kufanyia nini?
ni hayo tu machache
 
Wewe ni takataka na unanuka takataka .Ondoa Umbeya wako na uchakubimbi.I knew you would come up with these crap nikaja MwanHalisi.I am right na nakujua kwa sura hujafika hapa .Wacha uongo yaani nilitaka ku prove hili .Umeongea na nani kati ya hawa watu 5 ambao tuko hapa ndani ?Umeongea naye wapi na saa ngapi ?
Tafadhali Lunyungu hebu nieleweshe kweli mnataka mchango ? Wa nini kama ni "issue" nitumie kwenye PM
 

That still doesn't stop the initial argument. MWANAHALISI has been preaching about morals to politicians left and right while its editor (KUBENEA) is alleged to be adulterer that it is so much easier to consume junk but the knock on effects to mind and body are so unhealthy and makes for an unhealthy society. Perhaps MWANAHALISI should come with a public health warning, "Reading this paper could severely impair your rational judgement".

Mhh,

This tells alot about you than I previously thought
 
For bytes sake..hebu tuache malumbano ya nani mkali ...tuambiane ukweli. MCHANGO WA NINI?TUELEZANE HOJA INAYOELEWEKA!. Kwa mtazamo wangu umaarufu wa JF sasa unatuponza watu wanalumbana kwa mambo yasiyo ya msingi na pia heshima baina yetu imeshuka. ADMIN tafadhali tafuta jinsi ya kuzima hii tabia.JF haikuwa hivi ukiuliza swali ulikuwa unajibiwa ...sasa mtu akiulizwa kitu kidogo badala ya kujibu jibu..anaanza kufanya "psychological assessment ya aliyeandika".
 
JF inafurahisha na kuelimisha sana.

Watu humu mtajifanya mnaongea na kuwa anaytical thinkers, wengine mpaka mnaccuse wengine.."hollier than thou"..But at the end of the day-its just hot air! all this ushahidi na mapambano dhidi ya mafisadi umewekwa hadharani na hao mnaoona kwamba akili yao ni finyu, kwamba hawamatch analysis za NY Times au WPost! Jamani kama wewe unauelewa wako na kisomo chako kizuri-GOOD FOR YOU! To me mtu kama Kubenea na elimu yake ya la saba au form four yuko very relevant kwa nchi yangu kuliko Professor mwenye Phd ya Oxford ambaye alikimbilia ulaya "kwa maslahi madogo nyumbani" ambaye yuko kwenye Laptop yake somewhere in london-gathering audacity to undermine the well intentioned efforts za watu kama Kubenea. Wewe mefanya nini? au ni kulaumu tuuu? Have you ever imagined what the likes of Kubenea go through in a country like Tanzania? au unafikiri ukimuona John King wa CNN akireport toka White House..basi unajua dunia nzima lazima tuwe hivyo? Please get life Bongo isnt Washington!

Kumchangia Kubenea au Mwanahalisi ni hiari yako, hulazimishwi na mleta mada bana Lunyungu hakulazimisha mtu. Kwanza Kubenea hajaomba huo mchango! ni watu ambao wanaapreciate kazi yake. If you dont, relax and read your paper.

Wengine ni obstructinist by nature, hata ungewafanyia nini, they will never see anything good from one`s efforts.
 
Game Theory taire baba. ......
vita vya watu wawili vya majibizano ya namna hii havimsaidii mtu.

fahamisha jamii kwa nini kwa muono wako watu wasichangie, na muafrika wa kike mwache atoe zake.

na tulobakia tupate kuchangia kutokana na hoja zilizotolewa
 
can somebody tell me, mfano mwanahalisi limechangiwa, kila mtu katoa kidogo kidogo, RA akafuta kesi.
zile pesa zitafanywaje?

Hizo pesa zitalipa walinzi wa ziada watakaolinda selo ya mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata pale ukonga!
 
jamani Mwanahalisi ni gazeti la biashara, lazima watakuwa wana program zao za kujilinda kisheria.

lakini iwapo wameamua kuomba msaada upo utaratibu na kanuni za jinsi ya kuomba misaada.
siyo mtu mwingine asiyiwakilisha kampuni kuwasemea

mtu kuibuka kwa hisia na emotion kwamba changia mwanahalisi bila wao kukutuma kwa sababu unaridhishwa na kazi zao!. duh.

leo utachangia mwanahalisi, je baadae likiamua kwenda kinyume na habari unazozipenda je? utadai chako in the future?. jiulizeni ile RAI ya zamani ndiyo RAI ya sasa?

kama ni kuchangia zipo programu zinazopaswa kuchangiwa kwa udi na uvumba, mfano ile ya mafuriko, wanafunzi ukraine, ndoa za members(wanaoomba michango, siyo wanaoombewa michango)na yale yanyomgusa mtu moja kwa moja, au hata kama si michango ya aina hiyo mtu mwneyewe ajitokeze aombe msaada siyo kuombewa msaada na mtu asiyehusiana naye
 
Tafadhali Lunyungu hebu nieleweshe kweli mnataka mchango ? Wa nini kama ni "issue" nitumie kwenye PM

Mama Lao
Mimi nilitoa wazo kwa maana ya muungano katika kupinga ujinga na ujambazi.Mimi Lunyungu si mwandishi na nimekuja hapa kwa mambo 2 1.Kuona huyu mtoto shy ama Yona Maro kama atakuja hapa na alete umbeya badaye .Hili nimelimaliza maana kesha sema uongo nikiwa hata sijaondoka hapa Kinondoni .

2.Naongea na hawa jamaa kuona kama nia yetu njema ambayo tuna ionyesha iendelee ama wana mpango gani .Wao wanajipanga kwanza na wataona la kufanya .Mchango utatakiwa kama wale wanasheria wa kujitolewa watakataa lakini hadi sasa wanasema wana endelea vyema na watasema .Hawa jamaa ni wanachama wa JF so they will come forward when is right time for them to do .

Asante
 
Back
Top Bottom