Chinga kaonewa sana. suala la udini halipo. kwani kubenea ni muislam na Zitto mwenye gazeti ni muislam.
hakuna vita ya ukristo,labda mnataka kupeleka hisia zetu kwenye udini.
Chinga anamkosoa Kubenea na Zitto kama anawachukia wakristu asingewalaumu kwa kuchangisha.