Pia ni gazeti ambalo lilka kimya nchi ilipopeleka wanajeshi wetu kule COMORO bila kueleweka kuwa tunalipwa na na nani...in the end hili gazeti lilikaa kimya wakati tunatumia ma bilioni COMORO. Zaidi ya hayo gazeti hili ambalo mtu angetegemea lingekuwa na waa ndishi makini limekuwa kimya kuhusu Utata wa URAIA WA SALVA RWEYEMAMU, ZANZIBAR KUJIUNGA NA OIC ,WANAFUNZI WETU UKRAINE na mengineyo mengi tuu humu Jambo Forums.
Je ni mara ngapi MWANAHALISI LIMEWAPA BIG UP JAMBO FORUMS?
KUBENEA hakutumia pesa kummaliza LOWASSA bali alipomaliza pesa za mwanzo na akaahidiwa kuwa zinaandaliwa fungu la pili ndipo akakasirika kwa nini hakuewa as soon as possible
Kilichomwondoa LOWASA si MWANAHALISI kwani tayari KUBENEA laikuwa kwenye PAYROLL YA LOWASSA bali ni ile ripoti ya MWAKYEMBE ndio iliyomwondoa Lowassa kibaruani
Kama alikula pesa za Lowassa what makes you think alikuwa hali na hao mafisadi wengine?
Hapa kuna watu wanataka kuforce NDOA betweem MWANAHALISI na JAMBO FORUMS hiii mimi siitaki hata kuona kwani sisi kama JF tunatakiwa tuwe independent kama tulivyokuwa siku zote
KUBENEA alipewa pesa kabla ya Tindikali, akatuliza ball for a while ..baadae akalalama kuwa biashara ya Gazeti ni matangazo hivyo akaomba wampe matangazo wakati bado wanaendelea kulishughulikia hilo ..ohoooo KUBENEA akaanza kuwatukana hao wao waliompa pesa hapo awali sasa kabla episode ya Tindikali haijafika walimchomea gari lake kama message ...sasa leo kibao kimegeuga anata hii UN HOLLY ALLIANCE na JF
simuelewi huyu mtu, je kesho akitokea mwtu mwingine akimuoffer mapesa atashindwa kutugeuka huyu?
At most naweza kumfananisha na wale watu wa pale mtaa wa Ohio.
Kubenea ni mtu wao na hili linajulikana sasa nashangaa inawezekana kabisa kuwa hii ni strategy ya kutuyeyusha au kutuletea longo longo.
Kama anashida sana aende kwa Salva ,maana i am 100% mindset zao zinafana fanana.
huu ni wenda wazimu ltuna mengi ya kufanya humu na kama huyu angekuwa anataka ku keep it real angetulipia bill tya server ya miaka 2 ndio walau tungefikiria namna ya kumsaidia. Wee mtu akiumwa serikali inamlipia matibabu India lakini sie wenzetu wakikamatwa toka humu ndani alikuwa kimya
what a leech he is
hatokujibu straight kwa sababu hana jibu