Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

Unajua wanapomfungia ndipo anapopata nafasi ya kudai anaonewa na ya kuwa amenyimwa nafasi ya kujitetea and all the bs. Hapa kuna watu wazima na wanaweza kuona na sidhani kama kuna mtu anaweza kushtushwa na anachosema.

Hapana, wote wamesoma alichoandika na wakati mwingine inabidi hatua kali zichukuliwe kwa watu kama yeye.
 

Ameshafungiwa tayari kwa hiyo hii itasubiria akirudi na ID nyingine!
 

GAME THEORY u r very wrong na nina mashaka na taarifa zako! Tanzania hakutoa senti tano nyekundu kupeleka majeshi comoro ni Gadafi na Italy ndio waliogharamia!

Kwa kuwa unatungatunga story inanifanya niwe na wasiwasi na wewe! Hebu tuambie unalipwa ngapi kwa kazi hii ukiona aibu ni PM. Plz


Hatujasahu topic ni kumsadia Kubenea na MwanaHalisi
 

Usikute siku ya kesi wakaishia mitini. Unakumbuka hata Chenge, Mkono, kampuni la kifisadi la IMMA nao wametishia kushitaki vyombo ya habari?
 
Mama mbona ukisoma alichoandika kabla ya kufungiwa wiki moja utafunga computer?

Huyu bwana kiboko, atanifanya niwazuie hawa malaika wangu kuingia humu. Nilidhani watajifunza kuupiga vita ufisadi na kujenga hoja.
 
Huyu bwana kiboko, atanifanya niwazuie hawa malaika wangu kuingia humu. Nilidhani watajifunza kuupiga vita ufisadi na kujenga hoja.

ni hasira tu zinamsumbua kwa kufukuzwa kazi! Akippata nyingine au akigundua kuwa wakristo wapo bongo to stay atakuwa na heshima kidogo.
 
.

Sisi tutamsaidia wakutane mahakamani ili RA atueleze ukweli Richmond ni ya nani.

Hili suala ni Muhimu sana tunatakiwa kumsaidia Kubenea hili tujue kulikoni zile pesa/garama za umeme kupanda kiasi kile tunamlipa nani?

Tuna uhakika RA anajua vizuri na baadhi ya vigogo wa CCM(wenye chama) wanajua vizuri.
 
GAME THEORY u r very wrong na nina mashaka na taarifa zako! Tanzania hakutoa senti tano nyekundu kupeleka majeshi comoro ni Gadafi na Italy ndio waliogharamia!



Whoaaaa!!!!!(Red)

Kasome hotuba ya Kikwete ya mwezi wa nne amezungumzia kuhusu malipo...back to the thread.
 

Kuhusu Rostam msimamo wangu uko pale pale. He is still innocent until proved guilty by the court of law beyond reasonable doubt.

Je ni mtu safi? Sijui lakini lisemwalo waswahili wanasema lipo lakini siwezi kuingia kwenye mkumbo wa kukubali kuwa ni fisadi wakati hakuna ushahidi uliopelkwa kwenye vyombo vya sheria kuthibitisha hilo.

Je nataka ajieleze? Ndio nataka sana apewe nafasi hiyo kwani mimi I am not a proponent wa LAW OF THE JUNGLE maana kama ndio hivyo basi tuanzie na Nyerere ambaye waziri mkuu wake Msuya naye inasemekana alikuwa ni FISADI kisha tumalizie na JK

Nchi yetu inayo rule of law japo saa zingine haifuatwi lakini statutes zipo sasa ya nini kuwaita akina Karamagi, Lowasa, balali mafisadi wakati hawajapewa nafasi ya kujitetea?


Hivi ndivyo mnavyotaka kuendesha nchi? Yaani Ki VENDETTA VENDETTA?
 

Ndio maana inabidi apelekwe mahakamani kwa ufisadi ili ijulikane kuwa ni safi au si safi!

Je nataka ajieleze? Ndio nataka sana apewe nafasi hiyo kwani mimi I am not a proponent wa LAW OF THE JUNGLE maana kama ndio hivyo basi tuanzie na Nyerere ambaye waziri mkuu wake Msuya naye inasemekana alikuwa ni FISADI kisha tumalizie na JK

Sidhani kama unataka kushitaki kaburi la Nyerere.

Nchi yetu inayo rule of law japo saa zingine haifuatwi lakini statutes zipo sasa ya nini kuwaita akina Karamagi, Lowasa, balali mafisadi wakati hawajapewa nafasi ya kujitetea?


Hivi ndivyo mnavyotaka kuendesha nchi? Yaani Ki VENDETTA VENDETTA?

Uvendeta uko wapi?

Jukumu la kupeleka criminal ni la serikali na so far naona wako kimyaaaaaa
 


I am OFF inaonyesha umetumwa na RA pengine kwa kupewa muda wa maongezi wa vodacom
 

Kwa kuwa mwenye mamlaka ya kuwapeleka mahakamani ni serikali na haijafanya hivyo na kama jina FISADI wanalichukia ni jukumu lao kujipeleka mahakamani hili wawe safi.

Vinginevyo sisi wananchi wa kawaida popote tutakapo waona tutawaita mafisadi tu. unajua hawa (Karamagi, Msabaha,EL et al) na usanii bado watanzania wanalipishwa pesa kibao za umeme kwa upuuzi wao.

Hawa ni MAFISADI tu kwani walisaini makaratasi bila kujua mwenye kampuni? Eti na wao wanasema kampuni ni hewa! uppuuzi. GT saidia kubenea tujue ukweli labda kama wewe Tanzania uliondoka na kila kitu
 
I am OFF inaonyesha umetumwa na RA pengine kwa kupewa muda wa maongezi wa vodacom

Sokomoko,

usiondoke mwenzangu na wala usidhani GT ana muda wa bure wa voda toka kwa RA. yeye ameamua kumwamini RA na sasa anasubiriwa kwenye hiyo case ili ijulikane hadi kwa GT kuwa ni kwa nini sio Kikwete au PInda anayesema chochote kuhusu mambo ya mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata - Rostam Azizi.
 
Kitendo cha kuandika kile ambacho magazeti yote Tanzania yalisita kuandika ilikuwa ni very big up kwa Jamboforums. JF haitaki mchango toka kwa taasisi so far. Media zikiandika kile kinachoandikwa hapa JF ni big up ya nguvu kwa JF.

Wala sikusema kuwa JF inataka mchango toka taasisi yoyote ile lakini wakati wa shida mbona mwanahalisi halikutujua? kama big up basi ni JF pamoja na KLH news ndio wakupewa hilo nalikubali lakini sio Mwanahalisi ambao at most walikuwa wanakuja kunyonya habari humu lakini walikuwa wanagoma ku acknowledge JF or KLH NEWS kama ndio source...now that is one of my problem na MWANAHALISI/KUBENEA

Kuna wengi hapa JF hawakuongelea mambo ya Comoro kwa vile hawakuwa na intelligence report kama ile uliyokuwa nayo.

But one would have expected gazeti kama la MWANAHALISI lingekuwa na habari zaidi kuhusu:

nani alimshauri JK akubali kupeleka kaka zetu kule

kwa gharama zipi?

implication yake geo-politically ingekuwa ipi?

Kwa nini Membe alikuwa anapush for that invasion?


Je Jendayi Frazer alimuahidi nini inreturn?

Na watanzania wangapi wamepoteza maisha kutokana na hiyo global Matrix?

Kwa nini baada ya invasio kule Comoro Ile manowari ya Amerika haishi kusurvey pemba na pwani zetu

so far tumefaidika nini?

surely MWANAHALISI kama kweli walitaka wawe taken kama gazeti ambalo ni serious tungeona wanauliza na wangefanya investigative journalism kwenye issue ambayo ina national interest kuliko mengine..





Unachosema hapa hakina tofauti na wale wanaosema kuwa JF inalipwa na Kikwete lakini mawe ya JF yanathibitisha otherwise.

Ukweli ni kuwa JF inaendeshwa na wanachama ili hali MWANAHALISI ilikuwa kwenye payroll ya Lowassa mpaka pale mambo yalipoharibika..kwa kiasi fulani



Mwanahalisi wameandika mengi kuhusu Lowasa na ufisadi wake mara milioni moja ya kusafishwa kulikofanywa na magazeti mengine. Kwa hili facts zinakushitaki otherwise.


Alipokea pesa na akazila sasa hii fall out ni baada ya kuambiwa asubiri kigodo ili ifanywe mipango apate matangazo ya serikali gazetini kwake...mwanzo alipokea pesa ana alizila

Hakuna aliyefanya hili mkuu kwa hiyo wewe endelea na hoja zako angainst mwanahalisi na utapata majibu accordingly.


Ambayo hawana majibu zaidi ya kupitisha bakuli..sisi hizo pesa bora tutalipia server yetu humu..kesha likoroga sasa kilichobaki mwanhalisi ni kuonyea na Insurance wao waangalie kama policy yao inawa cover kwenye hili pia




Bado ni yale yale unayoweza vyema - substance zero ila unakwenda below the belt.


thats doesnt mean kuwa kuna some element in attention whoring ya Kubenea


Sio lazima wewe uchangie kwa vile ulichotaka mwanahalisi wafanye hakikufanyika. Maelfu ya memba wengine wa JF watachangia maana wameona mchango wa mwanahalisi.


wamekuja na najisikia kuchangia na nitaendelea kuchangia kwa namna nionavyo infaa
Huwezi kupata majibu straight kama huna maswali straight!

thats bollocks
 


Ahaaa

at last nimempata mtu ambaye yuko tayari kutuambia undani wa vita ya COMORO

sasa mindali unajua kuwa tanzania haikutoa hata senti tangi nyekundu..
sasa naomba unijibu yafuatayo:

Tuonyeshe ushahidi ni wapi Libya wamelipia Gharama?

Yaani secondary na primary sources zako

SUrely you guys can provide that information


baada ya hapo maswali mengine yatafuata
 

Bila kuwasahau JEETHU EPA na VITHLANI RADAR
 


Kwa maoni yangu naona Mwanahalisi wamefikisha ujumbe wa JF zaidi ya magazeti mengi sana hapo Tanzania. katika hili tukubali tu kutokubaliana.


Sidhani kama ni lazima mwanahalisi walipoti story za comoro ili kupass credibility test hapa JF.




BIla ushahidi katika hili nitaoona story zako kama umbea tu wenye level ya wale wanaosema kuwa JF ni ya Kikwete ili kuwaumbua mafisadi.




thats doesnt mean kuwa kuna some element in attention whoring ya Kubenea





wamekuja na najisikia kuchangia na nitaendelea kuchangia kwa namna nionavyo infaa


thats bollocks

Unaweza kutumia lugha chafu yoyote dhidi ya Kubenea kwa kadri unavyopenda lakini the guy ni far more better than mkoloni na mwizi mwenye uraia wa utata unayemtetea hapa JF kwa nguvu zote.
 
Pole sana GT sikujua kuwa wewe ni mwajiriwa wa RA, lakini leo nimejua maana kwa bidii zote unajitahidi. Usijali mpe moyo aendelee na kesi yake maakamani maana tumeshazioea juzi tu fisadi mwingine alishitaki ili na yeye asafishwe lakini mambo yakawa magumu kwake, hivi ataendelea kujulikana kuwa ni mwizi wa mali ya umma (Manji).

Hata RA tunamsubiri aende akaseme mahakamani tuone hiocho unachotetea, naona sasa ibara ya 15:1 haitakuwa na kazi tena maana mahakamani itabidi aseme kweli.
 

Nilidhani haya maswali yako yalipata majibu kwenye thread ya comoro uliyoanzisha? au ndiyo yale yale ya kutaka kuzima issue ya mchango kwa mwanahalisi na kubenea?
 
Ndio maana inabidi apelekwe mahakamani kwa ufisadi ili ijulikane kuwa ni safi au si safi!

ndio maana nasema kuwa inabidi tuwe makini sana tunapomsema mtu fulani ni fisadi au la. Mahakama ikishaweight up ushahidi ndio tutajua ..hili nakuunga mkono


Sidhani kama unataka kushitaki kaburi la Nyerere.


La hasha naona hukunielewa nilikuwa ninamaanisha kuwa mafisadi hawakuanzia leo..kwani tangu enzi za Nyerere walikwepo ndani ya serikali yake, je inamaana nyerere naye ni fisadi? maana inaweza kumewa kuwa inawezekana naye alikuwa ni guilty by association ...ndio maana nataka sana hapa sheria ifuate mkondo wake badla ya kuwa label watu mafisadi huku tukiwa hatuna ushahidi wa kuthibitisha hayo



Uvendeta uko wapi?


Headlines za mwanahalisi

Jukumu la kupeleka criminal ni la serikali na so far naona wako kimyaaaaaa

Then hapa hakuna issue, na nina wasi wasi wakitokea ma street lawyers wanaweza hata kuishitaki JF on behalf of mtu kama Rostm kwa slander...maana soko moko alisema wazi kuwa Rostam ni fisadi mla rushwa badala ya kutumia neno allegedly ..hiyo ni tatizo and it says alot about our media

na mimi nasubiri kwa ham hiyo kesi kama hao ma prosecutors watafanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…