Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
ulitaka nimshukuru aliyenitukana? ama.. au nisingekuwa na upande kati ya anayenitukana na anayenitetea? sijakuelewa. Au una maana nilitakiwa niwe neutral kwa sababu mimi ndiye ninayetukanwa?
Hata yule uliye kuwa unamshukuru alikuwa anarusha low-blows. Ulipokuwa una mu endorse, you got right in the muck. Nilikuwa nasubiri nione kama uta stay above the fray, ningefurahi sana.
Naomba nitumie ka mfano ka siasa za Marekani. Wagombea huwa wanalazimika kufukuza supporters ambao wanatumia mbinu zisizo pendeza. Mama Clinton alimfukuza Mama Feraro, Obama aliji distance na Mchungaji, na McCain alimkana yule radio personality wa Ohio aliye muita Obama Huseni. Najua unanielewa vizuri.
Ki ufupi niliku hold kwenye higher standards kama ambavyo mwenyewe umesema 'it comes with the territory.' Bahati mbaya hukupanda kwenye hicho kiwango. Natumaini hawa moderators wame consider mchango wako wa siku zote, na wame kuchukulia kama Statesman of the JF Nation. Lakini usikatae kwamba supporters wako wameharibu, ikiwa ni pamoja na kuingiza dini kwenye thread isiyo yenyewe. Ahsante.