Hii sawa.Huuu ni uongo mtupu, kwa kanuni za TFF hao wote wanapewa kiatu...tatizo mnawaza kwa kutumia makalio
Acha kudanganya watu mzee,hakuna kanuni kama hizo duniani,kwani penati sio goli??we jamaa bhnYaaah mkuu
Yani Utopolo akili zao wazijua wenyewe tu.Ni wa kuwahurumiaHuuu ni uongo mtupu, kwa kanuni za TFF hao wote wanapewa kiatu...tatizo mnawaza kwa kutumia makalio
Yaani kipengele cha kufunga uingize assist? Assist ni goli?Hakuna kanuni ya penalt Bongo, jiunzeni kusoma kanuni...
Na hata hvo kanuni zimemuokoa mayele pia sababu Assist za Saido hazitayumika
Na wakipewa wote utakuja na story zako zile za Feisal ameuzwa kwa 270M [emoji23][emoji23]Usingeyashitua ungeyaacha yashangilie kwanza [emoji23][emoji16]
Ndio nani huyo kispika??tulia vita mbichi hiiKolo mkuu.....Mr kispika amekubali yaishe[emoji23][emoji23]
Wewe ni nani unapingaView attachment 2651387
Punguza pang'ang'a utoPole Mr kolo......Sheria ilibadilika
Feisal kauzwa kwa 270M,tangu nisome ile thread sikuamini tenaKiatu ni kimoja tu acha kuleta hadithi za kujifariji.