Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

Makolo kinehe
IMG-20230609-WA0078.jpg
 
Muhimu TFF waandae kiatu kingine, nakumbuka hata EPL kuna msimu Auba alifungana magoli na Salah wote wakapewa kila mmoja kiatu chake, nadhani hata kwetu pia itakuwa hivyo.
Pesa zitoke wapi ...
 
Mtu yoyote anayesema Mayele ndo mfungaji bora pekee...aweke dau hapa, tukamatane siku ya tuzo dadeki...naweka laki 1...mtu aje hapa...Ukijifanya kudanganya mimi ntakupata tu
Changia simba
 
Back
Top Bottom