Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

IMG-20230609-WA0038.jpg
 
Kiatu kinatolewa kwa yule ambaye hana magoli mengi ya penati kwahiyo kiatu ni cha Fiston Kalala Mayele [emoji617] Official [emoji460] Young Africans SC

NB: pamoja na kumnunulia magoli Mzee ...saidoo ashinde kiatu ....but imeshindikana[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo pesa mnge invest kununua quality players kama mayele .....na nyie mngekuwa fainali [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2651354
Azam 8-0 polisi Tz

Azam nao wamenunua leo.
 
Kiatu kinatolewa kwa yule ambaye hana magoli mengi ya penati kwahiyo kiatu ni cha Fiston Kalala Mayele [emoji617] Official [emoji460] Young Africans SC

NB: pamoja na kumnunulia magoli Mzee ...saidoo ashinde kiatu ....but imeshindikana[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo pesa mnge invest kununua quality players kama mayele .....na nyie mngekuwa fainali [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2651354
67CEF3AE-77EE-4BA9-BB90-45950BB350F6.jpeg
 
Link Haifunguki
Kwahyo ni haki bandari ya nchi ambayo ndo kutega chake uchumi namba moja kuuzwa kwa waarabu kwa V8 na milion kadhaa?
Nani kasema imeuzwa .....

Ni kama tuseme inakodishwa Kwa sekta binafsi

Ni kama shirika la ndege tumpe mwamedi[emoji23][emoji23]

Then serikali itakuwa inakusanya mafwezaa
 
Aisee hii timu kama Mo imemshinda bora aachie tu ngazi wenye pesa waje waweke mzigo wa usajili maana Makolo si wa kuanza kulilia ufungaji bora baada ya kukosa vyooote. Wamepowaa na haipendezi
I
Au tuongee na mayele...awaachie makolo
 
Back
Top Bottom