valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Nigawie Hilo ganji la mwarabu na Mimi mkuuLengo ni kupata mafwedhaaa
Kama yapo ya kutosha .....Kwann tusiwape[emoji38][emoji38]
Nigawie hilo ganji la mwarabu na mimi Mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Lengo ni kupata mafwedhaaa
Kama yapo ya kutosha .....Kwann tusiwape[emoji38][emoji38]
Duh yani top 15 ya wafungaji...Yanga wawili tu Simba 6
Unatoaje wakati umeshasema magoli na yalishaingia na kuhesabiwa..kweli wenye akili huko wawili tuToa magoli 6 ya penalty
Ushahidi huuUna evidence? Au ni hearsay tu
Btw ishu ya bandari imefikia wapi?
Link HaifungukiUshahidi huu
Kuhusu suala la bandari .... serikali lazima iziachie private org ( ifanye privatization [emoji125][emoji125][emoji125]
View attachment 2651471
Pamoja na penaltTofauti ni kuwa
Mayele....magoli ya kufight
Saido........ magoli ya mchongo ( bahasha)
Aisee hii timu kama Mo imemshinda bora aachie tu ngazi wenye pesa waje waweke mzigo wa usajili maana Makolo si wa kuanza kulilia ufungaji bora baada ya kukosa vyooote. Wamepowaa na haipendeziNendeni mkashitaki FIFA View attachment 2651430
Wee Elimu unayoo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lete posho .....nkuletee
NB .That's y lowasa alisisitiza hii kitu ELIMU ELIMU. ..... ELIMU
Azam 8-0 polisi TzKiatu kinatolewa kwa yule ambaye hana magoli mengi ya penati kwahiyo kiatu ni cha Fiston Kalala Mayele [emoji617] Official [emoji460] Young Africans SC
NB: pamoja na kumnunulia magoli Mzee ...saidoo ashinde kiatu ....but imeshindikana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo pesa mnge invest kununua quality players kama mayele .....na nyie mngekuwa fainali [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2651354
Kiatu kinatolewa kwa yule ambaye hana magoli mengi ya penati kwahiyo kiatu ni cha Fiston Kalala Mayele [emoji617] Official [emoji460] Young Africans SC
NB: pamoja na kumnunulia magoli Mzee ...saidoo ashinde kiatu ....but imeshindikana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo pesa mnge invest kununua quality players kama mayele .....na nyie mngekuwa fainali [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2651354
Nani kasema imeuzwa .....Link Haifunguki
Kwahyo ni haki bandari ya nchi ambayo ndo kutega chake uchumi namba moja kuuzwa kwa waarabu kwa V8 na milion kadhaa?
Au tuongee na mayele...awaachie makoloAisee hii timu kama Mo imemshinda bora aachie tu ngazi wenye pesa waje waweke mzigo wa usajili maana Makolo si wa kuanza kulilia ufungaji bora baada ya kukosa vyooote. Wamepowaa na haipendezi
I