Huyo mayele wako kuna mechi moja alipiga penati ambayo hadi leo mpira haujawahi kutua popote imasemekana ata anga zabali ushavuka unaelekea jangwani matopeni kwny vyuraaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaaah mkuu.... penalty hata ukisinzia hukosi
Yakutosha ......na bado nasubiri scholarship ya JAPAN ni kaongeze U PhD kabisaWee Elimu unayoo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mayele wako kuna mechi moja alipiga penati ambayo hadi leo mpira haujawahi kutua popote imasemekana ata anga zabali ushavuka unaelekea jangwani matopeni kwny vyuraaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
U PhD Ni elimu gani we utopolo? Mbona unaandika mambo ya Aibu?Yakutosha ......na bado nasubiri scholarship ya JAPAN ni kaongeze U PhD kabisa
Ukiwa mwananchi lazima akili iwe mingi
Refer kidg hapa
....Professor Nabi
..... Engineer hersi
........ Doctor haucho
......... PhD ..@Labani og
Aahahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi jua labda aliamua kukosoa makusudi Ili asiwe na goal la penalty
Mbona zile za penalty tano tano hazihesabiwiGoal ni goal tu haijalishi ni penalty au free kick maana zote ni sehemu ya mchezo......
Hivi ukimkopesha mtu kitu chako milele...ina tofaut gan na kumuuzia?Nani kasema imeuzwa .....
Ni kama tuseme inakodishwa Kwa sekta binafsi
Ni kama shirika la ndege tumpe mwamedi[emoji23][emoji23]
Then serikali itakuwa inakusanya mafwezaa
Kabisa kabisa mkuu Makolo Wakae mbareeee!!Kula bia ....... popote ulipo
Ukiona kolo anakusogelea piga kibao
[emoji23]WANASIIIMBAAAAAView attachment 2651575
ππWANASIIIMBAAAAAView attachment 2651575