Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

Yaaah mkuu.... penalty hata ukisinzia hukosi
Huyo mayele wako kuna mechi moja alipiga penati ambayo hadi leo mpira haujawahi kutua popote imasemekana ata anga zabali ushavuka unaelekea jangwani matopeni kwny vyuraaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wee Elimu unayoo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yakutosha ......na bado nasubiri scholarship ya JAPAN ni kaongeze U PhD kabisa

Ukiwa mwananchi lazima akili iwe mingi

Refer kidg hapa

....Professor Nabi

..... Engineer hersi
........ Doctor haucho
......... PhD ..@Labani og
 
Huyo mayele wako kuna mechi moja alipiga penati ambayo hadi leo mpira haujawahi kutua popote imasemekana ata anga zabali ushavuka unaelekea jangwani matopeni kwny vyuraaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]

Huwezi jua labda aliamua kukosoa makusudi Ili asiwe na goal la penalty
 
Yakutosha ......na bado nasubiri scholarship ya JAPAN ni kaongeze U PhD kabisa

Ukiwa mwananchi lazima akili iwe mingi

Refer kidg hapa

....Professor Nabi

..... Engineer hersi
........ Doctor haucho
......... PhD ..@Labani og
U PhD Ni elimu gani we utopolo? Mbona unaandika mambo ya Aibu?

Maskini UTO hili linajua Nabi ni profesa wa darasani kweli, na Aucho ni Doctor [emoji3][emoji3][emoji3]
 
U PhD Ni elimu gani we utopolo? Mbona unaandika mambo ya Aibu?

Maskini UTO hili linajua Nabi ni profesa wa darasani kweli, na Aucho ni Doctor [emoji3][emoji3][emoji3]
ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU
 
Nani kasema imeuzwa .....

Ni kama tuseme inakodishwa Kwa sekta binafsi

Ni kama shirika la ndege tumpe mwamedi[emoji23][emoji23]

Then serikali itakuwa inakusanya mafwezaa
Hivi ukimkopesha mtu kitu chako milele...ina tofaut gan na kumuuzia?
 
Hurrreeeeeeyyyyy Yanga Hurrreeeeeeyyyyy 💛💚💚💚!
Koloz wana wivuuuuuuu😏😏😏😏😏
 
Hurrreeeeeeyyyyy Yanga Hurrreeeeeeyyyyy [emoji169][emoji172][emoji172][emoji172]!
Koloz wana wivuuuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Kula bia ....... popote ulipo

Ukiona kolo anakusogelea piga kibao
 
WANASIIIMBAAAAA
JamiiForums-1876225559.jpg
 
Back
Top Bottom