[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usingeyashitua ungeyaacha yashangilie kwanza [emoji23][emoji16]
Punguzeni ushabiki maandazi hapo tunajua nyie Ni Andazi scKiatu kinatolewa kwa yule ambaye hana magoli mengi ya penati kwahiyo kiatu ni cha Fiston Kalala Mayele [emoji617] Official [emoji460] Young Africans SC
NB: pamoja na kumnunulia magoli Mzee ...saidoo ashinde kiatu ....but imeshindikana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo pesa mnge invest kununua quality players kama mayele .....na nyie mngekuwa fainali [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2651354
Mayele hatoamini macho yake waswahili watakachomfanyia kwenye hicho kikao. Vigezo walivyovitumia msimu uliopita kumnyima kiatu msimu uliopita anavyo msimu huu ila tayari wanahamisha magoliPunguzeni ushabiki maandazi hapo tunajua nyie Ni Andazi scView attachment 2651696
Maajabu ya Dunia...kuwa mpira unamalizika ndipo kamati inaeenda kukaa mezani kuanza kufanya setting ya namna ya kumpata mfungaji bora? Kuwa hawakuwa na option zote on the table?Punguzeni ushabiki maandazi hapo tunajua nyie Ni Andazi scView attachment 2651696
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya bongoland. Nchi kila kona mizengwe tu.Maajabu ya Dunia...kuwa mpira unamalizika ndipo kamati inaeenda kukaa mezani kuanza kufanya setting ya namna ya kumpata mfungaji bora? Kuwa hawakuwa na option zote on the table?
Hawawezi....now mayele anafuatiliwa Africa nzimaMayele hatoamini macho yake waswahili watakachomfanyia kwenye hicho kikao. Vigezo walivyovitumia msimu uliopita kumnyima kiatu msimu uliopita anavyo msimu huu ila tayari wanahamisha magoli
Binafsi mpira wa bongo ulinishinda na utaendelea kunishinda tu! Siasa kibao! Hapo watabadili vigezo na kuamua kumpa Ntibazonkiza ili tu wawabalansie Simba nao waambulie chochote!
TFF wapuuzi sana, haya mambo yanatakiwa kujulikana mapema kabisa mwanzo wa msimu, huu ujinga ubaweza ukasababisha mtafaruku usio na maana kabisa.Ufafanuzi umetolewa, bodi ya league na TFF ndo itaenda kukaa na kuamua kanuni ipi itumikee, huvyo wadau wa soka wakae kwa utulivu.
Magoli ya mchongo 👇Tofauti ni kuwa
Mayele....magoli ya kufight
Saido........ magoli ya mchongo ( bahasha)
KabisaTFF wapuuzi sana, haya mambo yanatakiwa kujulikana mapema kabisa mwanzo wa msimu, huu ujinga ubaweza ukasababisha mtafaruku usio na maana kabisa.
Ila najua kwasababu wanahusika Simba na Yanga, hapo naamini watapewa wote, ila kama angekuwa mchezaji mwingine wa timu tofauti...
Mbna mayelee alipaishaaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaaah mkuu.... penalty hata ukisinzia hukosi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekeshaaaa mnoooYakutosha ......na bado nasubiri scholarship ya JAPAN ni kaongeze U PhD kabisa
Ukiwa mwananchi lazima akili iwe mingi
Refer kidg hapa
....Professor Nabi
..... Engineer hersi
........ Doctor haucho
......... PhD ..@Labani og
Kumbe wanenunua zile za polisi khaaass wana nahisi mpira wa Tanzania.....investment MO bil 5 returns ni kiatu? DharauuuiKiatu kinatolewa kwa yule ambaye hana magoli mengi ya penati kwahiyo kiatu ni cha Fiston Kalala Mayele [emoji617] Official [emoji460] Young Africans SC
NB: pamoja na kumnunulia magoli Mzee ...saidoo ashinde kiatu ....but imeshindikana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo pesa mnge invest kununua quality players kama mayele .....na nyie mngekuwa fainali [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2651354
Hilo ni juu yakee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mayele .....alikuwa hataki goal la penalty