Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

Kama ni tuzo ya top scorer kikawaida wanapaswa kupewa wote , top scorer kigezo ni idadi ya magoli ila best scorer / best attacker ndo itahusisha na namna ya ufungaji
 
Hii ni mpya.....au ni suggestion yako
 
Kiatu kinatolewa kwa yule ambaye hana magoli mengi ya penati kwahiyo kiatu ni cha Fiston Kalala Mayele [emoji617] Official [emoji460] Young Africans SC

NB: pamoja na kumnunulia magoli Mzee ...saidoo ashinde kiatu ....but imeshindikana[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo pesa mnge invest kununua quality players kama mayele .....na nyie mngekuwa fainali [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2651354
Punguzeni ushabiki maandazi hapo tunajua nyie Ni Andazi sc
Screenshot_20230609-213227.jpg
 
Punguzeni ushabiki maandazi hapo tunajua nyie Ni Andazi scView attachment 2651696
Mayele hatoamini macho yake waswahili watakachomfanyia kwenye hicho kikao. Vigezo walivyovitumia msimu uliopita kumnyima kiatu msimu uliopita anavyo msimu huu ila tayari wanahamisha magoli

Binafsi mpira wa bongo ulinishinda na utaendelea kunishinda tu! Siasa kibao! Hapo watabadili vigezo na kuamua kumpa Ntibazonkiza ili tu wawabalansie Simba nao waambulie chochote!
 
Maajabu ya Dunia...kuwa mpira unamalizika ndipo kamati inaeenda kukaa mezani kuanza kufanya setting ya namna ya kumpata mfungaji bora? Kuwa hawakuwa na option zote on the table?
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya bongoland. Nchi kila kona mizengwe tu.

Kule chenga za bandari, huku chenga za top scorer, etc
 
Mayele hatoamini macho yake waswahili watakachomfanyia kwenye hicho kikao. Vigezo walivyovitumia msimu uliopita kumnyima kiatu msimu uliopita anavyo msimu huu ila tayari wanahamisha magoli

Binafsi mpira wa bongo ulinishinda na utaendelea kunishinda tu! Siasa kibao! Hapo watabadili vigezo na kuamua kumpa Ntibazonkiza ili tu wawabalansie Simba nao waambulie chochote!
Hawawezi....now mayele anafuatiliwa Africa nzima
 
Ufafanuzi umetolewa, bodi ya league na TFF ndo itaenda kukaa na kuamua kanuni ipi itumikee, huvyo wadau wa soka wakae kwa utulivu.
TFF wapuuzi sana, haya mambo yanatakiwa kujulikana mapema kabisa mwanzo wa msimu, huu ujinga ubaweza ukasababisha mtafaruku usio na maana kabisa.

Ila najua kwasababu wanahusika Simba na Yanga, hapo naamini watapewa wote, ila kama angekuwa mchezaji mwingine wa timu tofauti...
 
Kabisa
 
Yakutosha ......na bado nasubiri scholarship ya JAPAN ni kaongeze U PhD kabisa

Ukiwa mwananchi lazima akili iwe mingi

Refer kidg hapa

....Professor Nabi

..... Engineer hersi
........ Doctor haucho
......... PhD ..@Labani og
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekeshaaaa mnooo
 
Kiatu kinatolewa kwa yule ambaye hana magoli mengi ya penati kwahiyo kiatu ni cha Fiston Kalala Mayele [emoji617] Official [emoji460] Young Africans SC

NB: pamoja na kumnunulia magoli Mzee ...saidoo ashinde kiatu ....but imeshindikana[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo pesa mnge invest kununua quality players kama mayele .....na nyie mngekuwa fainali [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2651354
Kumbe wanenunua zile za polisi khaaass wana nahisi mpira wa Tanzania.....investment MO bil 5 returns ni kiatu? Dharauuui
 
Yaaah mkuu.... subiri tangazo la mwamedi kulalamika anaingia hasara
 
Back
Top Bottom